Wanaume mnao tumia english kutongoza

Wanaume mnao tumia english kutongoza

waongo mbona wanajulikana tu hata wakiongea kiswahili, yani mtu akiwa ananitongoza kingereza kuna namna flani huwa najiskia😍🤗, ila ikiwa broken English namkataa kwakweli
Kuna mmoja kaja na english oh nipo NMB makao makuu kama It ajamaliza nikamwambia nenda tena shule
 
✌️

Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.

Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
Nyie ndo wale mnaandika huhu badala ya huu, mihe badala ya mie, huongo badala ya uongo --- Pasipo maneno machache ya Queen Malkia mtongozo haunogi.

Hata hivyo, ni vzr umeweka wazi.
 
Wanaume wenzangu mmemsikia huyu dada? Sasa huu ndo Mfano wa mwanamke anae jitambua, achaneni na wale machangudoa ambao wakikuona na gari la kuazima wanaanza kujiangusha kwenye boksi na wewe ulivyo domo zege unaanza kuhudumia kwa pupa na kupotezeana muda
Sheenz type
 
Kwanza tumechoka kutongozwa,Yaan hatutaki....imekaa kinafki kweli[emoji849]
Tumechokaaa,nilikutana na huyo muhaya acha aanze kunambia alivyo ni engeneer,ana masters anapambana akapate phd,misafara ya raisi anakiwepo
Mda huohuo nikaona huyu punguani nani anamtisha hapa
 
✌️

Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.

Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
Hakuna tatizo, kama hupendi wewe wenzako watakubali....
 
Back
Top Bottom