Wanaume mnao tumia english kutongoza

Hata JF walikwambia Enter username, then Enter password, then Login na haukupinga.
Halafu unakuja kutudanganya hapa.
 
Kama wee pisi kali na unajiamini weka picha yako kama To yeye hapa mana una rap rap sana kwa kufoka khaa 😁
 
Kisikuma na swaga za Maskai vip? au ndo ntakula tunda kimasihara?
 

Acha izo mrembo yani unafuatwa na subaru ndo sababu unaruka ruka wewe.....!!!! Apo kwenye kingereza ndo naweza kukuelewa......... ila sio kwenye gari wanawake na magari mazuri ni ndugu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…