Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Eti Kwa uzuri upo ulionao wewe hadi ukatongoze demuKwa uzuri upi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Kwa uzuri upo ulionao wewe hadi ukatongoze demuKwa uzuri upi
Lazima English isome kingereza ni muhimu Kwa watu wawiliMbwembwe tu hizo sasa kingereza na kutongoza vina uhusiano gani?
Labda kama kwako ngeli haipandi ila maneno romantic yapo kingelingeli.
NB. Nakupenda ni refu kulo i love you.
utalowajeKwanza tumechoka kutongozwa,Yaan hatutaki....imekaa kinafki kweli[emoji849]
Hata JF walikwambia Enter username, then Enter password, then Login na haukupinga.✌️
Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.
Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
Yaani inaboa Sana,unaona kabisa jamaa anakupanga yaani😄Kwanza tumechoka kutongozwa,Yaan hatutaki....imekaa kinafki kweli🙄
ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
Ahahahha unanikosea
Kisikuma na swaga za Maskai vip? au ndo ntakula tunda kimasihara?[emoji3577]
Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.
Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
[emoji3577]

Kurahisisha safari zako na kuwatambia marafiki zako.Wao sio mimi gari yako mimi inanisaidia nini?
Sio kweli dia x Cc ephen_Kwanza tumechoka kutongozwa,Yaan hatutaki....imekaa kinafki kweli[emoji849]
Kuna dogii moja inaitwa Kantri imemaliza jf nzima kutongoza.😂😂😂 mimi nachukia mwanaume anaetongoza kila mwanamke
Gari 😀😀😀hatari sanaSijawahi kukuona mwanamke akikataa gari...infact huo ndio uchawi mkubwa unaofanya vishimo vyenu vikandamizwe