Utachat kwa kuwa kawaida au kwakuwa msimu wa siku kuu π€Karibu
Icho unakubali fastaTena kiheheππ
Mchumba unataka nini mchumbaaaaa ?sasa bora hiyo English iwe nzuriβ¦..yooo English zingine ndo zinafanya ukimbie kabisa[emoji1487]
Ndo ukipatwa kwa Kiswahili, ubaki na Kiswahili hicho hicho sio mara ooh fu**Hapo si utamu unakuwa umekolea ππ
KamweneeYah wala silewesh na mzigo utapewa siku iyo iyo ππ
ππππKuweni makini hapa, kesho sikukuu. Huu ni mtego. Msije kusema sikuwaambia
Babe can you ride a cock a cola prince,....... baba yangu anamiliki viwanda vyote vya coca asande sanaβοΈ
Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magar ndio kabisa nakukataa
hatutaki vingerezaMchumba unataka nini mchumbaaaaa ?
Moyo unataka nini moyooo?
Wewe ni mwanamke?βοΈ
Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.
Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa