Wanaume mnao tumia english kutongoza

waongo mbona wanajulikana tu hata wakiongea kiswahili, yani mtu akiwa ananitongoza kingereza kuna namna flani huwa najiskiaπŸ˜πŸ€—, ila ikiwa broken English namkataa kwakweli
Kuna mmoja kaja na english oh nipo NMB makao makuu kama It ajamaliza nikamwambia nenda tena shule
 
Nyie ndo wale mnaandika huhu badala ya huu, mihe badala ya mie, huongo badala ya uongo --- Pasipo maneno machache ya Queen Malkia mtongozo haunogi.

Hata hivyo, ni vzr umeweka wazi.
 
Aaah aaah upo wapi wewe wife material twende kanisani
 
Wanaume wenzangu mmemsikia huyu dada? Sasa huu ndo Mfano wa mwanamke anae jitambua, achaneni na wale machangudoa ambao wakikuona na gari la kuazima wanaanza kujiangusha kwenye boksi na wewe ulivyo domo zege unaanza kuhudumia kwa pupa na kupotezeana muda
Sheenz type
 
Kwanza tumechoka kutongozwa,Yaan hatutaki....imekaa kinafki kweli[emoji849]
Tumechokaaa,nilikutana na huyo muhaya acha aanze kunambia alivyo ni engeneer,ana masters anapambana akapate phd,misafara ya raisi anakiwepo
Mda huohuo nikaona huyu punguani nani anamtisha hapa
 
Hakuna tatizo, kama hupendi wewe wenzako watakubali....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…