Wanaume mnao tumia english kutongoza

Wanaume mnao tumia english kutongoza

Tuna adapt kutokana na nyie mnavojifanya kujua kiingereza....nyie ndo mmeanzisha...
 
Mjibu kwa kiswahili yaishe , wengine wakiongea english confidence ndo inakuja ,kama kumkataa mkatae kwa englis
 
[emoji3577]

Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.

Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
English yenyewe unaijua??
 
Mtoa mada hajui anachotaka

Hana uhakika kama anapenda kuendelea kutongozwa au la

Hajui kinachompa furaha

Kama Bado anadai anataka tuache kutumia kiingereza kumtongoza

Maanake anataka tutumie kiswahili

Lakini hapo hapo anasema amechoka kutongozwa hataki kutongozwa

So hajui anachokitaka
 
English zenyewe n kwamba hawajui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3577]

Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.

Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
Ulikutana na kijana wa Ras Simba sio bure.
20230406_063845.jpg
 
[emoji3577]

Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.

Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
Hatutongozi.

Tunaongoza.
 
I love you the beautiful lady I'm ready for anything you want if you reject my request there is no sunlight or clear sky always it rain please consider my request and if you don't mind please send your contact via Private messages Dubai will be our monthly destination and ibiza will be our anual resting remember I love you so much please accept my request I'm out waiting for your reply.
 
Sijawahi kukuona mwanamke akikataa gari...infact huo ndio uchawi mkubwa unaofanya vishimo vyenu vikandamizwe
Mwanangu usiwasikilize wanawake huwa mara nyingi kitu anachokataa kwa nguvu ndio anataka afanyiwe kwasababu wameubwa na aibu na wanafa hvyo ili wasionekane cheap wanawake akili zao ni vice versa don't listen their noises.
 
[emoji3577]

Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.

Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
Kwan siku hizi Kuna kutongoza kwel? Maana mkishaombwa na za simu tu, ndo tayari hiyo umeshatongozwa

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mbwembwe tu hizo sasa kingereza na kutongoza vina uhusiano gani?

Labda kama kwako ngeli haipandi ila maneno romantic yapo kingelingeli.

NB. Nakupenda ni refu kulo i love you.
 
Back
Top Bottom