mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Tuna adapt kutokana na nyie mnavojifanya kujua kiingereza....nyie ndo mmeanzisha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
English yenyewe unaijua??[emoji3577]
Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.
Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
Sasa tutumie mfumo gani??Kwanza tumechoka kutongozwa,Yaan hatutaki....imekaa kinafki kweli[emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna English zinakimbiza watu??Sasa bora hiyo English iwe nzuri…..yooo English zingine ndo zinafanya ukimbie kabisa[emoji1487]
Ulikutana na kijana wa Ras Simba sio bure.[emoji3577]
Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.
Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
Nimekupigia sana hupatikani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna English zinakimbiza watu??
Hongera sana, mfungwa huru, hakika umepambana kutoka kifungoni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna English zinakimbiza watu??
😅😅 ndio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna English zinakimbiza watu??
Hatutongozi.[emoji3577]
Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.
Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
I love you the beautiful lady I'm ready for anything you want if you reject my request there is no sunlight or clear sky always it rain please consider my request and if you don't mind please send your contact via Private messages Dubai will be our monthly destination and ibiza will be our anual resting remember I love you so much please accept my request I'm out waiting for your reply.[emoji3577]
Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni.
Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
Mwanangu usiwasikilize wanawake huwa mara nyingi kitu anachokataa kwa nguvu ndio anataka afanyiwe kwasababu wameubwa na aibu na wanafa hvyo ili wasionekane cheap wanawake akili zao ni vice versa don't listen their noises.Sijawahi kukuona mwanamke akikataa gari...infact huo ndio uchawi mkubwa unaofanya vishimo vyenu vikandamizwe
Sikuwahi jua, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] ndio
Kwan siku hizi Kuna kutongoza kwel? Maana mkishaombwa na za simu tu, ndo tayari hiyo umeshatongozwa[emoji3577]