Sahii kabisa,Vicoba Kama vicoba ni vizuri Kwa wanaojitambua.
Ila Kibongobongo mwanaume kushiriki vicoba naona haijakaa poa, maana ukiachana na masuala ya akiba pia Kuna umbea Sana Kwa wahusika.
Kwaiyo sidhani Kama ni sahihi Kwa jinsia me.
Kuna mwamba kasema vicoba ni ka bank flan ivi.. Ila mi tangu nimezaliwa sijawahi kutunziwa hela na tangu nimejitambua sijawahi kumuamini mtu katika hili la kukusanyiana mkwanja. Ni bora nitupe kwingineUpatu ndio vikoba au ina tofauti mbona hamtueleweshi vizuri
Sisi tuko watu 10 na kila mmoja anatoa 6m kwa mwezii na baada ya miezi kumi kila mmoja anakuwa amechukua zake x 10
Sasa kama ni aibu basi na iwe tu 😄
Kama vikoba ina tofauti tuelimishane
Kwamba unakua mwanaume afu unaogopa kujitunzia pesa mpk zikakae vikoba[emoji28]Kuna mwamba kasema vicoba ni ka bank flan ivi.. Ila mi tangu nimezaliwa sijawahi kutunziwa hela na tangu nimejitambua sijawahi kumuamini mtu katika hili la kukusanyiana mkwanja. Ni bora nitupe kwingine
Nafikiri shida ni hilo neno vicoba limekaa ki kike, but kitendo au concept haina shida.Nawaza Hapa,
1. Hivi mwanaume unapata wapi ujasili kucheza kikoba Kama wanawake? Lengo lako Ni Nini hasa? Unajiskiaje kwa mfano.
2. Tena wengine utashangaa kabisa, anakuaga hadharani mwanaume mwenzie kua Anaenda kwenye kikoba! Unabaki unamwangalia Mara mbili mbili humpatii picha.
3. Hivi wanaume wanaocheza vikoba, nao upitia Changamoto kama hizi wanazopitia dada zetu na mama zetu ktk kusaka pesa za marejesho ya vikoba kila baada ya siku kadhaa za wiki au mwezi?
View attachment 2742195
Watatueleza vizuri wanawezaje wezajeKwamba unakua mwanaume afu unaogopa kujitunzia pesa mpk zikakae vikoba[emoji28]
Sipati picha kijumbe wa kiume anakuwaje 😁😁Nawaza Hapa,
1. Hivi mwanaume unapata wapi ujasili kucheza kikoba Kama wanawake? Lengo lako Ni Nini hasa? Unajiskiaje kwa mfano.
2. Tena wengine utashangaa kabisa, anakuaga hadharani mwanaume mwenzie kua Anaenda kwenye kikoba! Unabaki unamwangalia Mara mbili mbili humpatii picha.
3. Hivi wanaume wanaocheza vikoba, nao upitia Changamoto kama hizi wanazopitia dada zetu na mama zetu ktk kusaka pesa za marejesho ya vikoba kila baada ya siku kadhaa za wiki au mwezi?
View attachment 2742195
Kama unahitaji hela ya kufanyia kitu haraka nafikiri hii ni njia salama kwa wasioamini RibaKuna mwamba kasema vicoba ni ka bank flan ivi.. Ila mi tangu nimezaliwa sijawahi kutunziwa hela na tangu nimejitambua sijawahi kumuamini mtu katika hili la kukusanyiana mkwanja. Ni bora nitupe kwingine
Tatizo ni kwamba huyu Oscar Oscar Hana ujuzi wowote kuhusu uchumi na uwekezaji.Nawaza Hapa,