Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Hebu elezea vizur mkuu ni mnazikusanya halaf mnakopeshana? Maana ukisema mnakua mnachangiana ni mzunguko wa mwezi had mwezi sasa hela yakufanyia kitu haraka inakuaje hapo au mfano mpo sita na wewe ni wa sita si unasubiri hadi ufikiwe? sasa kusubiri ufikiwe si ungezitunza mwenyewe tu kwa nidham. Kuliko risk za huko maana wabongo tunajuana, Au mimi naelewaje?Kama unahitaji hela ya kufanyia kitu haraka nafikiri hii ni njia salama kwa wasioamini Riba
Unachukua unafanyia wazo lako halafu unaendelea na mengine
Ila nasema tu kama una shida ya haraka ni salama zaidi haina riba
Wewe endelea kumsikiliza oscar,huyu jamaa kwanza kwa mim namchulia km mlopokaji,kila nikikuta kaweka kibwagizo chake waga najifikilia Sana juu ya reasoning yake,wewe fanya chochote unachoamini kitakufanya ufikie malengo bila kuvunja Sheria za nchiNawaza Hapa,
1. Hivi mwanaume unapata wapi ujasili kucheza kikoba Kama wanawake? Lengo lako Ni Nini hasa? Unajiskiaje kwa mfano.
2. Tena wengine utashangaa kabisa, anakuaga hadharani mwanaume mwenzie kua Anaenda kwenye kikoba! Unabaki unamwangalia Mara mbili mbili humpatii picha.
3. Hivi wanaume wanaocheza vikoba, nao upitia Changamoto kama hizi wanazopitia dada zetu na mama zetu ktk kusaka pesa za marejesho ya vikoba kila baada ya siku kadhaa za wiki au mwezi?
View attachment 2742195
Bado maana peke yake haitoshelezi kumfaa mwanaume acheze kikoba.Vicoba ni nini?
Vicoba ni Village community bank.
Kwahiyo ukielewa maana ya Vicoba hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki.
Mwanaume anaenda kutafuta nini kwenye vikao vya wanawake ?Ila wanaume mna limits za kingese
Shida ya vicoba ni ipi
Vicoba siyo uwekezaji ni uwewesekajiVicoba ni nini?
Vicoba ni Village community bank.
Kwahiyo ukielewa maana ya Vicoba hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki.
HakikaUgumu wa maisha Unaweza mfanya mwanaume afungue genge la mboga mboga
Village community bank ni jina la kikekike?Nafikiri shida ni hilo neno vicoba limekaa ki kike, but kitendo au concept haina shida.
Wengi ni upindeNawaza Hapa,
1. Hivi mwanaume unapata wapi ujasili kucheza kikoba Kama wanawake? Lengo lako Ni Nini hasa? Unajiskiaje kwa mfano.
2. Tena wengine utashangaa kabisa, anakuaga hadharani mwanaume mwenzie kua Anaenda kwenye kikoba! Unabaki unamwangalia Mara mbili mbili humpatii picha.
3. Hivi wanaume wanaocheza vikoba, nao upitia Changamoto kama hizi wanazopitia dada zetu na mama zetu ktk kusaka pesa za marejesho ya vikoba kila baada ya siku kadhaa za wiki au mwezi?
View attachment 2742195
kwamba genge la mbogamboga halina hadhi sio..ni la watu wenye ugumu wa maishaUgumu wa maisha Unaweza mfanya mwanaume afungue genge la mboga mboga
Vicoba siyo vikao vya wanawake, huna uelewa wowote na village community bank.Mwanaume anaenda kutafuta nini kwenye vikao vya wanawake ?
Ndiyo maana wengi akili zinadumaa.
Usiconfuse Vicoba na Kausha damu, ni vitu viwili tofauti kabisa.Vicoba siyo uwekezaji ni uwewesekaji
Kwa hapa bongo, tumezoea kuona wanawake ndiyo wanauza genge la mboga mbogakwamba genge la mbogamboga halina hadhi sio..ni la watu wenye ugumu wa maisha
Wanawake wanadharau wanaume wasiokuwa na pesa.kuna wanawake wanadharau wanaume wacheza vicoba