Wanaume mnaocheza vikoba mnatia aibu

MWANAUME HUPASWI KUTIZAMA MZUNGUKO WA PESA WA MWANAUME MWENZAKO WEWE FUATA MAISHA YAKO
Mwanaume hachezi Vicoba Mzee shtuka Ila basi mtu akizidiwa inabidi atumbukie huko Ila chimbuko la Vicoba ni wanawake na huo Mchezo una masharti magumu sana kuna kupigana faini Mara 2/3 ya kile ulitakiwa kupeleka km usipopeleka au ukichelewa kupeleka huo Mchezo umeua watu hadi sasa especially wanawake kuna Mama Mwaka Jana alijiua kisa rejesho la Vicoba
 
Nahisi kalewa na senti
 
Hilo ni fuko la Pesa ni Mchezo tu km Michezo ile ya zamani Ila wamemodify jina sasa hii imeenda mbali kuna vihela vya kujazia kikundi ndio hivyo unaweza ukakopa ukafanyia issues zako wanakuruhusu Ila utatakiwa kurudisha baada ya Mwezi kabla mtu hajapokea Pesa yake maana kunakua na rotation au utalipa kwa interval mpaka unaimaliza
 
vikoba vilivyo sajiliwa au unazungumzia kitu gani....pia hilo la kujiua nafikiri ni tatizo binafsi,navyofahamu vikoba vina taratibu zake unazopaswa kuzisoma na kujiridhisha nazo

bado sina mlengo wa kusema vikoba ni kwa jinsia fulani kwani dhana ya vikoba si hiyo
 
Hivo vihela vya kujazia kikundi vinatoka sehemu gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…