Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Niliwahi kuwafundisha Sacco's moja Njombe wale jamaa sasa hivi wanatisha, wana pesa ya kufa mtu na wana mmiliki asset mbalimbali.Wako vzr hawa madogo ni hivyo huna muda ,nawapendea wana nidhamu fulani hv ya kushirikiana
Lakini Vicoba Endelevu ndio vizuri zaidi kuliko vya kuvunja ambalo mnapovunja mwenyewe hisa nyingi za uwekezaji ndio anaondoka na bahasha nzito.
Tofauti na Vicoba Endelevu asset zote mtakazoinvest ni za wanachama.