Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

aisee wanaume wenzangu aliyemfungia huyu Dada pm amfungulie ona sasa anatolea watu mapovu apo hatujui nini kitafuta baada ya hichi
 
Inasikitisha sana...

Ila kuna ukweli...

kufunga PM au Kuweka watu kwenye ingore list ni mambo ya wanawake...


Cc: mahondaw
 
Tufungue PM zetu wadangaji watudangie????????

Wauza nyuchi wengi humu ndugu wengine hatutaki shida na jitu lenye mikosi yake ilete hiyo mikosi kwangu
 
kuna watu wanabahatiii wana jamii si ungekuja hata kwa rijali pm iko wazi 24 seven mpaka hii nyuzi

Bila kuchelewesha mudaa pm yangu iko wazi na namba za simu mkihitajii natoa
karibuni tufyatue kama mkuu alivyosema
nakusalimia muheshimiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…