Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Kweli slim sijui mimi niambie umenihurumia lini
Hapa tu kwenyewe nimeshakuhurumia vile unanimiss..... haya.... na zile korosho zako.... na nikitoka huku Kibaigwa nakuletea Mafutz ya Alizeti....
 
Wabongo ndo maana hatufiki mbali.Hilo ni bando lake na simu yake huwezi mpangia cha kufanya we komaa tu na walioweka PM zao wazi.
 
Ukijua ID za wanaotoa hela unitag wakunyumba nikasalimie pm zao
Hahahahahaaa. Wewe huna akili kabisa. Kwahiyo beki hazikabi kabisa?
Beki zote chenga! Beki ya kushoto imekufa, ya kulia pumzi imekata! Beki za kati ni maboko kwa kwenda mbele!
 
Back
Top Bottom