Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

Yes, it is a false dichotomy, also a non sequitur.

Weka vitu hapa kwa faida ya wote.
 
Muanzisha uzi kama huwa anakereka kuwaona wale wanaume wanaokuwa katika harakati za kuwawezesha wanawake..ni kama hawapendi wale wanaume wanaokuwa kwenye majukwaa ya hedhi na wao ni wanaume...sipati picha anavyowachukulia wanaume watetezi wa haki za wanawake tena wakiwa mstari wambele na jezi na kofia zinazohamasisha 50 50..
Si kupenda kwao mkuu tumbo halina adabu unaweza mtetea mwanamke asifanyiwe ukatili still wewe mtetezi ukamtendea ukatili mwanamke huyo kwa kukulazimisha upike ufue kwa kigezo za usawa wa kijinsia
 
Reactions: ITR
Wapuuzi tu nyie wote mnaoponda wanawake humu kama hamna mama?!, hata baba yako ni mtetezi wa Mama yako..je nae ni simp?!

Kama unachukia wanawake then ni wewe...potea mbali huko...hujitwmbui na sio makosa yako, kosa la bichwa lako liko faulty! Hii ya kulazimisha wanaume wenzenu wachukie na kuponda wanawake inaonyesha jinsi mlivyo twisted akili zenu!..ni mjinga pekee anayetegemea wanaume wawe sawa, hivyo wa accept upuuzi anaoandika,

categorically tuko wanaume na wanawake humu ila kama bichwa lako liko daft ndio uta assume tuko sawa wanawake na wanaume wako sawa, .

Mtoa mada tukusaidie kuna INDIVIDUAL DIFFERENCES katika watu. Kila mtu ana Genetic makeup yake, ana PERSONALITY yake,ana UPBRINGING yake ana EXPERIENCES zake mwenyewe,zinazomshape CHOICES ama PREFERENCES zake, zinazoguide DECISIONS zake...na hivi vitu viko tofauti baina ya mwanaume na mwanaume na mwanamke na mwanamke..mtu na mtu....kuleta hapa msimamo wako na kulazimisha kila mtu wa jinsia yako waufate ndivyo unaonyesha jinsi ambavyo hauja grab this simple theory of individual differences...hata hapa ukileta leo topic kwa wanawake kutembea na mume wa mtu ni immoral wanawake wasifanye usitegemee kupata gen consensus wapo kutokana na walivyokuwa wired kisaikolojia ndivyo watqkavyotoa majibu tofauti....kwa mwanamkehuyu ni sawa na kwa mwanamkeyule sio sawa na wote wanajiona wana HAKI NA MAJIBU YAO .........mnawaita masimp wanaotetea wanawake na wenyewe wanawaona masimp kwa kutokua gentle na wanawake. Furthermore, wengi wenu wanaona mna deal na rejections/abandonment kutoka kwa mama zenu...wengine sijui mama zenu walikuwa busy na kazi au majukumu mengine ya kulea familia,basically wakawa ABSENT katika crucial moments za early years,mmeachiwa mikononi mwa House girl vifinyo makonzi yamewafanya mnachukia wanawake mpaka leo.....NYIE NDIO MASIMP WAKUBWA...AND YOU WILL KNOW NO PEACE WITH WOMEN AROUND YOU....SERIES OF BROKEN RELATIONSHIPS AND FRICTIONS WITH WOMEN WILL HAUNT YOU FOR THE REST OF YOUR LIFE...sad we can't help you,go to HELL!!!
 
Narudia tena kwa herifu kubwa
KAMA HUWEZI KUM CONTROL MKE WAKO HUO NI UDHAIFU WAKO..... PERIOD

Kisa cha Robert sio tafsiri ya maisha ya watu wote

Watu tunaishi na wake zetu na tuna wapenda na tuna wa control vizuri sana vile tutakavyo bila kuwavunjia heshima na utu wao
 
Akili zako bado ni ndogo sana na haujui how the whole atmosphere of intersexual dynamics ilivyokuwa gynocentrised, najua huelewi chochote kwenye hili bandiko langu, ila ipo siku utanielewa....!!
 
Akili zako bado ni ndogo sana na haujui how the whole atmosphere of intersexual dynamics ilivyokuwa gynocentrised, najua huelewi chochote kwenye hili bandiko langu, ila ipo siku utanielewa....!!
Mkuu jifunze kushambuali HOJA na sio kumshambulia mleta HOJA
Ukiona mtu anafanya personal attack badala ya hoja ujue uameishiwa HOJA

Joining date yangu tu inaweza kukupa mwanga mimi ni MUHENGA kiasi gani
So speaking of experience tambua kua unajadili na mtu mwenye uzoefu wa kutosha na ninachojadili

Natambua kwamba wapo binadamu wenye akili mbovu, na hii ni kwa wote.... wanaume na wanawake
So usichukue mifano miwili mitatu ya wanawake wenye akili mbovu ukafanya generation kwamba wanawake wote wa siku hizi HAWAFAI

Weww huna tofauti yoyote na wanawake wana dai kwamba wanaume wote wa siku hizi hawana nguvu za kiume, wanapenda kulelewa, wanakimbia majukumu na wanakua mashoga kwasababu ya kupenda mtelemko

Mkuu dunia ya sasa hivi DHAMANI yako na HESHIMA yako utaipata kikamilifu ukiwa na HELA
Kama huna hela hata vikao vya familia tu utaonekana unafanya fujo ukichangia

Hebu tafuta kwanza HELA ndio utajua kama wanawake ni wajeuri au la
 
Haya nimekuelewa, samahani Kwa personal attack japo halikuwa kusudio langu..!!
 
Mtoa mada nakupongeza sana. Unakula nao sahani moja. Toe to toe, unyo unyo.

Kupitia comment naendelea kuamini kwamba, wanaume wengi wamepumbazwa sana na mbususu na hakuna mtetezi wa mwanaume chini ya jua.

Mkuu mtoa mada umejibu comments nyingi sana nikuambie tu watakuchosha. Wakishafinyiwa kwa ndani wanakuja na nyuzi za kusifia. Wakipigwa matukio wanakuja na nyuzi za kuomba ushauri.

Kwa kiumbe KE kila mwanaume “mpumbavu” atanyooshwa kwa wakati wake.
 
Reactions: ITR
Andioo zuri lakini hujaweka paragraphs linakuwa linapoteza ushawishi wa kulisoma. 😃😃😃

Kimsingi Wanawake ni tatizo sana na ukichunguza mambo mengi yenye Kuleta huzuni na simanzi huwa chanzo ni wao.
 
 
Dogo hebu Punguza fujo basi, mbona unaleta utoto mwingi unakuwa una quote quote replies za watu bila kuandika chochote ndio nini sasa?

Jitahidi kuwa matured basi, watu humu tulijiunga tuna miaka 22 lakini ujinga unaoufanya wewe hatukuwahi kukufanya.

Kuna nyuzi nyingi sana za kusoma ili kuendelea kukuongezea maarifa lakini unakuwa nafanya ujinga tu kwa faida ya nani na kwa lengo lipi?

Jamiiforums ipo kwa ajili ya kupeana na kuhabarishana na vile vile kupeana mipango lakini matumizi yako ya huu mtandao yamekuwa ni Kinyume kabisa.

JamiiForums hebu muangalieni huyu Member anachokifanya kwenye nyuzi za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…