Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ni kweli jamii ina hili tatizo la walioshindikana esp mijini kama Dar kuna ambao utasema hawana wazazi wanaowaheshimu.Mkuu Hawa wanawake WA kileo hata wakija mababu zetu WA miaka Ile hawatawezana nao, itakuwa ni vurugu tu kama unavyoona leo.
Pia vile vile Hawa wanawake wa kisasa bila liberalization na mabadiliko mengine ya kijamii yaliyowafanya wakengeuke, wangekuwa ni watiifu, na Wala wanaume wasingepata shida kuwatuliza.
Kwa hiyo kumbe msingi wa tatizo ni social construct mpya tulizo install kwenye jamii yetu, kwamba mwanamke ana uhuru wake WA kujiamlia mambo yake mwenyewe bila kuingiliwa na mtu, na mwanaume ukijaribu kufungua mdomo wako ni kumuingilia kwenye uhuru wake.
Hamuwezi ukampangia binti au mwanamke WA kileo jinsi ya kuishi ilihali jamii imeshampa uhuru usiokuwa na mipaka...
Sema, Sio mabinti kutoka koo zote za hii nchi wameharibika, kuna koo humu Tanganyika bado kuna discpline, wazee wanasikilizwa na wapo in control. Mabinti zao wana maadili na hofu ya MUNGU.
Ukibahatika kukutana na wanawake wa aina hii, wanahubiri kwa vitendo uzuri wa wanawake na umuhimu wao kwenye maisha ya mwanaume. Na hii ndo tafsiri sahihi ya mwanamke.
Tukubaliane kuwa, kila akitajwa mwanamke, imaanishe binti/mama mwenye maadili. Hawa wengine tuwaite wahuni wenye maumbile ya kike.
Woote wasio na adabu,wenye kutokuheshimu mwanaume, matapeli ya ndoa na wezi wa jasho la mwanaume wasiitwe wanawake.