Wanaume mnaojifanya watetezi wa Wanawake humu mnakera sana

Kwanini unataka tuchekelee maovu na ujinga mnaosema kwa
Dada zetu
Mama zetu
Shangazi zetu
Na kina dorry kwa ujumla

Wee mkuu una shida itakua umeachwa wewe acha kisirani alaaah..

Mimi ni mmoja wapo ambao nawatetea sana hawa watu ila kwa nilichofanyiwa juzi cha kupuliziwa dawa ndani nusu ya kufa ..
Acha niseme ukweli hawa watu ni wauwaji full stop
 
Mkuu, tukifungua hadithi ya maisha yako hakuna matukio yenye viashiria vya udhaifu dhidi ya mwanamke?
inawezekana hata wewe umewahi finyiwa kwa ndani ukahonga wakati kuna rafiki yako, mwanaume mwenzako ana uhitaji wa muhimu sana na hukumsaidia.
 
Ila inategemea na mada sio kila mada wanawake ndo wabaya kuna zingine wanaonewa tu, kwahiyo sioni kama ni dhambi kutetea ukweli
Mbona wao huwa hawana muda wa kutetea wanaume?
 
But why?

Why the vitriol?

Why so much hate?

Why so much banal generalization?

Why so much ignorant ignominy and palpable pugilism where there is no quantitative analysis and empirical data whatsoever?
 
Mbona wao huwa hawana muda wa kutetea wanaume?
Wanawake are always selfish wana self-ego kali ila nasi tusifanane kama wao tuwe objective katika kuangalia masuala ya genda kwa mfano ndoa ya utotoni chini ya miaka 15 na mimi naungana nao naipinga ebu mtoto wakike apewe anafasi kusoma mpaka afikishe angalau 18+ years ndo aingie ndoa.
 

Nilichojifunza kuhusu wanaume
 
Zipo nyingi mbona mojawapo ni hii: Nilichojifunza kuhusu wanaume
 
Huyu vipi, unataka uanzieshe kampeni ya mwanaume akiwezeshwa anaweza? Kaza wewe

mwanamke anahitaji kupewa kipaumbele bhnaaa Ndo maana tunamdekeza tuna mlinda tuna mjali sasa na wewe unataka tukudekeze tukupe kipaumbele wewe vipi bhnaaaa

Alafu kuchukia kukereka vitu visivyo na msingi waachie masingle maza
 
Wewe ni mtu dhaifu. Kuanzisha mada yoyote ya kuwaponda wanawake ni udhaifu usioelezeka. Mwanamke ni pambo na kiumbe dhaifu hivyo kumponda au kubishana naye sana ni sawa ni kujiunga naye kwenye udhaifu wake. NAWASIHI WANAUME WOTE WA JF TUKAE KIMYA DAKIKA MOJA KUMWOMBEA MKE/MPENZI WA MLETA UZI KWA SABABU YUKO NA MWANAUME MWENYE GUBU.
 
Sasa mkuu hawo wanawake ndio wake zetu, ndio wapenzi wetu wanatupa utamu, unataka tuwaponde tuwakandamize huo utamu utatupa wewe? Mbona penye madhaifu wanaambiwa sana au haujakutana na nyuzi za Singo mazaz?, penye mazuri waambiwe pia, wanatuzalia watoto wazuri tunazunguka mtaani kifua mbele tukiitwa akina baba ni kwa sababu yao hao hao unaotaka tuwaseme vibaya.

Kama kuna aliyekutenda mseme huyo huyo usituhamasishe au kutulaumu wakati tunapendwa na hao hao wanawake wazuri au KENZY nasema uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…