Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

Acha wapigwe mimba chochote kinachotokea kwa wanawake miaka hii ni kujitakia kwao wenyewe, wanawakataa wanaume wa type zao ambao wapo serious kuwakeep na kuwaoa wanataka wanaume wa kwenye TV wenye pesa na sura za wakorea, wanataka wanaume ambao washajitafuta wana maisha yao wao wakifika wale tu mwisho wakipigwa mimba wanakuja kulalamikia wanaume ambao hawahusiki
 
Dah. Ume generalize sana mzee. Sio kila mahusiano yapo hivo. Mim naenda hadi vijijin huko na kuna watu wanaoana wote maskini na ndoa inadum
 
SIYO KWELI.

Weka Uthibitisho wa maneno yako, kauli ya Mhusika mkuu wa DNA kwa JMT , sauti Pls, sio maandishi. Ahsante.
 
Kibaya zaidi SISI Kama jamii bado tunalitizama janga hili kijinsia na kuendelea kutupiana lawama na kumsaka mchawi ndani yetu wenyewe.

Kwanini inakua ngumu kukubaliana kwamba Kama jamii tumejisahau vibaya? Ulimbukeni wetu umetuvaa wote kwa pamoja, hatuoni tena.

Siku hazigandi, lipaririwalo ndilo linalostawi, siku inakuja giza litatanda hata jinsia zetu binafsi hatutoziona tena.
 
Dah. Ume generalize sana mzee. Sio kila mahusiano yapo hivo. Mim naenda hadi vijijin huko na kuna watu wanaoana wote maskini na ndoa inadum
Ushasema wa kijijini ambao wapo tayari kuolewa hata na maskini hawa wa mjini ambao ukiwa huna kitu wanakudharau ukizipata wanaanza kujichekesha chekesha unaoa wa nini,? Piga pipe mteme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…