Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

Acha wapewe mimba, si wamekubali? Tatizo wadada wanatukataa tunaowapenda kweli, wanaenda Kwa ma playboy. Mimi kamwe, siwezi Kuja kuoa Binti ambaye sio bikira au ana mtoto Kwa sababu sijawahi kumbikiri Wala kumpa mimba Binti yoyote. Na siwezi kumuamini Binti yoyote ambaye ananiambia alipewa mimba Kwa bahati mbaya maana sio kudondoka kana kwamba alidondoka Kwa bahati mbaya.

Cha zaidi, mwanaume, ukipata pesa, acha ku date na mabinti wenye njaa, oa mwenye pesa kama wewe maana hata wao wasingekubali ku date na wewe kama hauna pesa.
Acha wapigwe mimba chochote kinachotokea kwa wanawake miaka hii ni kujitakia kwao wenyewe, wanawakataa wanaume wa type zao ambao wapo serious kuwakeep na kuwaoa wanataka wanaume wa kwenye TV wenye pesa na sura za wakorea, wanataka wanaume ambao washajitafuta wana maisha yao wao wakifika wale tu mwisho wakipigwa mimba wanakuja kulalamikia wanaume ambao hawahusiki
 
Wachapwe tu maana wanawake wa sikuhizi hawajui wanataka nini ukiwa maskini wanakukataa kwa kejeli ukijipata wanajileta na mimba wanajibebesha ili tu wakombe hela zako dawa yao ni kuchapa tu mpe na onyo kabisa kua No Mimba akijibebesha mimba mtemee mbali Hakuna huruma kwa Wanawake wa sasa
Dah. Ume generalize sana mzee. Sio kila mahusiano yapo hivo. Mim naenda hadi vijijin huko na kuna watu wanaoana wote maskini na ndoa inadum
 
Unajua DNA ya Tanzania au unaandika ili uonekane umeandika?
1. Katika jambo ambalo mwanaume rijali hapendi kusikia ni kugongewa
2. DNA ya Tanzania majibu yote yapo sawa ni kwamba watakuambia mtoto ni wako ili kupunguza watoto wa mitaani. Kwahiyo huyo mtoto ni wako.
Siyo jambo rahisi kama ulivyoandika kama ni mhusika
SIYO KWELI.

Weka Uthibitisho wa maneno yako, kauli ya Mhusika mkuu wa DNA kwa JMT , sauti Pls, sio maandishi. Ahsante.
 
Kibaya zaidi SISI Kama jamii bado tunalitizama janga hili kijinsia na kuendelea kutupiana lawama na kumsaka mchawi ndani yetu wenyewe.

Kwanini inakua ngumu kukubaliana kwamba Kama jamii tumejisahau vibaya? Ulimbukeni wetu umetuvaa wote kwa pamoja, hatuoni tena.

Siku hazigandi, lipaririwalo ndilo linalostawi, siku inakuja giza litatanda hata jinsia zetu binafsi hatutoziona tena.
 
Dah. Ume generalize sana mzee. Sio kila mahusiano yapo hivo. Mim naenda hadi vijijin huko na kuna watu wanaoana wote maskini na ndoa inadum
Ushasema wa kijijini ambao wapo tayari kuolewa hata na maskini hawa wa mjini ambao ukiwa huna kitu wanakudharau ukizipata wanaanza kujichekesha chekesha unaoa wa nini,? Piga pipe mteme
 
Back
Top Bottom