Acha wapewe mimba, si wamekubali? Tatizo wadada wanatukataa tunaowapenda kweli, wanaenda Kwa ma playboy. Mimi kamwe, siwezi Kuja kuoa Binti ambaye sio bikira au ana mtoto Kwa sababu sijawahi kumbikiri Wala kumpa mimba Binti yoyote. Na siwezi kumuamini Binti yoyote ambaye ananiambia alipewa mimba Kwa bahati mbaya maana sio kudondoka kana kwamba alidondoka Kwa bahati mbaya.
Cha zaidi, mwanaume, ukipata pesa, acha ku date na mabinti wenye njaa, oa mwenye pesa kama wewe maana hata wao wasingekubali ku date na wewe kama hauna pesa.