Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

Kwa hiyo wa kulaumiwa hapo Ni nani haswa?
Ni ME aliyezalisha na kukumbia majukumu ama KE aliyeridhia kuzaa na mwanaume ambaye Hana uwezo/ hayuko tayari kuhudumia?
Mim naona hata kama lawama wanapewa wote ila lawama zaidi ziende kwa mshawishi/Me (maana bila mshawishi/Me haya mambo yasingefika mbali)
 
Vijana wote wa kike na kiume waache kuchezeana kama hawana malengo ya kuishi pamoja.
 
We wakike au wakiume? Kama wakiume basi pole wapewe wazazi wako.
 
Kwani wenyewe hawajui km hapa nazaa na mpita njia?? Kwann uzae na mtu ambaye sio mumeo??
Labda anakua anawaza Mume wa mtu atamuacha mke wake atakuja kumuoa yeye.

Unajua unaweza ukakutana na Mume wa mtu ana pesa nyingi anatoa huduma nzuri kama nesi katanguliziwa 50k,

Nyumba, gari, shopping n za kufikia. Binti anaweza kuwaza vitu ambavyo haviwaziki hapo
 
Sikuhizi vijana hawaoi wanachezea tu, sababu kuu wala sio kujipata bali sheria kandamizi za kugawana mali baada ya kujipata tena kwa kumkomoa mwanaume amgawie mke mvivu kisa tu amechangia uroda basi hudai mgao wa 50/50
Mali mali zipi wakuu, ni uzinzi tu.

Hii hoja ni dhaifu sana basi walau uwe unahudimia huko kwa mwanao, nako unakacha eti mama yake ana kiburi aisee.
 
Wanawake wa kimasikini huwa hawana Akili .

Uzinzi au ngono sio kwa ajili ya MTU masikini

Tafuta pesa Dada na kaka mjipata zaeni watoto mnaotaka


Issue ya singo maza ni wao wenyewe kutokuwa na AKILI za kuwaza mbele na kuwa wabinafsi.
 
Wanawake wa kimasikini huwa hawana Akili .

Uzinzi au ngono sio kwa ajili ya MTU masikini

Tafuta pesa Dada na kaka mjipata zaeni watoto mnaotaka


Issue ya singo maza ni wao wenyewe kutokuwa na AKILI za kuwaza mbele na kuwa wabinafsi.
Kwamba single mother unaweza kutatuliwa na binti kuwa na Pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…