Mbogo_beichee
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 224
- 608
- Thread starter
- #21
Mmmh aisee ko hapo inabidi uchague kufika kileleni au kuwa single mother au nimeelewa tofauti.Labda P2 ambayo pia haitakiwi kila mwezi unywe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh aisee ko hapo inabidi uchague kufika kileleni au kuwa single mother au nimeelewa tofauti.Labda P2 ambayo pia haitakiwi kila mwezi unywe
Kuzaa na kutokuzaa....usinglemom ni matokeo ya kugeukwa tu na mwenza mkuu...Mmmh aisee ko hapo inabidi uchague kufika kileleni au kuwa single mother au nimeelewa tofauti.
Mim naona hata kama lawama wanapewa wote ila lawama zaidi ziende kwa mshawishi/Me (maana bila mshawishi/Me haya mambo yasingefika mbali)Kwa hiyo wa kulaumiwa hapo Ni nani haswa?
Ni ME aliyezalisha na kukumbia majukumu ama KE aliyeridhia kuzaa na mwanaume ambaye Hana uwezo/ hayuko tayari kuhudumia?
Yah very True.Kuzaa na kutokuzaa....usinglemom ni matokeo ya kugeukwa tu na mwenza mkuu...
Anaweza kumudu hasara maana maokoto yapoUnamaanisha ambaye amejipata si ndoa anapoteza zaidi maana yeye mali anakua nazo zaidi? Au?
Lakini si sheria inasema bi mama anachukua 50% ko wote mi naona kama wanapoteza saw tuu au?Anaweza kumudu hasara maana maokoto yapo
Vijana wote wa kike na kiume waache kuchezeana kama hawana malengo ya kuishi pamoja.Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana.
Basi hii isipelekee kuwatesa viumbe wa upande wa pili basi.
Utakuta mwanaume anasema ooh. Mimi kuoa mpaka nikijapata sasa kipato changu cha kulea familia hakijitoshelezi, ilo unalosema ni sawa SASA MBONA UNAENDELEA KUGAWA MIMBA KWA WADADA ZETU, ko hao watoto wanatakiwa kulelewa na nani aliejipata?
Wewe unasema ukijipata ndio utaoa ili uweze kulisha familia yako, wakati muda huo huo unaendelea kutengeneza familia nyingine (ili ilelewe na nani sasa)
Em kuweni WAUNGWANA BASI. Kama unataka Familia siku ukijipata basi subiri muda huo ndio utengeneze hizo familia, sio kutubuluzia wadada zetu tunaishia kuwa na SINGLE MOTHERS kibao.
Siku hizi kila ukitongoza Dem ana mtoto. Kuoa dem mwenye mtoto inaanza kuwa kawaida sasa hivi.
Dem kua na mtoto mmoja imeanza kuwa afadhali sasa hivi kuna madem wana watoto mpaka wa3 baba tofauti.
Hii inachosha jamani. kha.
We wakike au wakiume? Kama wakiume basi pole wapewe wazazi wako.Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana.
Basi hii isipelekee kuwatesa viumbe wa upande wa pili basi.
Utakuta mwanaume anasema ooh. Mimi kuoa mpaka nikijapata sasa kipato changu cha kulea familia hakijitoshelezi, ilo unalosema ni sawa SASA MBONA UNAENDELEA KUGAWA MIMBA KWA WADADA ZETU, ko hao watoto wanatakiwa kulelewa na nani aliejipata?
Wewe unasema ukijipata ndio utaoa ili uweze kulisha familia yako, wakati muda huo huo unaendelea kutengeneza familia nyingine (ili ilelewe na nani sasa)
Em kuweni WAUNGWANA BASI. Kama unataka Familia siku ukijipata basi subiri muda huo ndio utengeneze hizo familia, sio kutubuluzia wadada zetu tunaishia kuwa na SINGLE MOTHERS kibao.
Siku hizi kila ukitongoza Dem ana mtoto. Kuoa dem mwenye mtoto inaanza kuwa kawaida sasa hivi.
Dem kua na mtoto mmoja imeanza kuwa afadhali sasa hivi kuna madem wana watoto mpaka wa3 baba tofauti.
Hii inachosha jamani. kha.
Hii point nyingine kuna wengine hili swala la ngono kwao ni kama maisha ya kawaida, bila kuwaza madhara ambayo ynaweza kuletwa.Vijana wote wa kike na kiume waache kuchezeana kama hawana malengo ya kuishi pamoja.
🤝Hii thread ifanyiwe lamination......neno la maana sana 🤝
Sijaelewa apo mkuuWe wakike au wakiume? Kama wakiume basi pole wapewe wazazi wako.
Labda anakua anawaza Mume wa mtu atamuacha mke wake atakuja kumuoa yeye.Kwani wenyewe hawajui km hapa nazaa na mpita njia?? Kwann uzae na mtu ambaye sio mumeo??
Mali mali zipi wakuu, ni uzinzi tu.Sikuhizi vijana hawaoi wanachezea tu, sababu kuu wala sio kujipata bali sheria kandamizi za kugawana mali baada ya kujipata tena kwa kumkomoa mwanaume amgawie mke mvivu kisa tu amechangia uroda basi hudai mgao wa 50/50
Duh!Upo sahihi ila njia za uzazi wa mpango zinaua nyege ivo unajikuta unampa raha mwanaume wewe hufiki popote....Kwahiyo kazi ipo mkuu
Kwamba single mother unaweza kutatuliwa na binti kuwa na Pesa?Wanawake wa kimasikini huwa hawana Akili .
Uzinzi au ngono sio kwa ajili ya MTU masikini
Tafuta pesa Dada na kaka mjipata zaeni watoto mnaotaka
Issue ya singo maza ni wao wenyewe kutokuwa na AKILI za kuwaza mbele na kuwa wabinafsi.
Tatizo la vijana wa kiume ni lipi? Wanawabaka hao singo Maza?Mim naona kila mtu ni Tatizo kwa namna moja au nyingine. Ila kubwa zaidi linaanzia kwa vijana wa kiume