Kwani hiko kinachomwagwa ndani kinaingia kwa mwanamke au kwako, why unateseka wewe wakati ambae kinaingia kwake yeye hajari.....kwamba wewe ni Superman kudeal na matatizo ya wengine ambao wao hawajisumbui kubeba yako.Bro unapiga dem kam mkeo, na kumwagia ndani juu.
Halafu sasa hivi unasema hua hautarajii mwanamke ashike mimba na warning unatoa.
You can not be serious bana.
Wanawake wakipenda wanapenda kwelikweli.Hii ni point muhimu sana. Sijui hii akili ya kuwa akimzalia mwanaume atamuoa waliitoa wapi
1)Usidhani kila aliyezalishwa anahitaji kuolewa na baba mtoto zipo case nyingi baba mtoto anataka kuoa baada ya incidence mwanamke hayupo tayari.....Why unamsema mwanaume.Single mother mzee. Ukimuoa hawezi kuwa single mother and ukioa una embrace majukum.
Yeah upo sawa kuona tatizo la mwanamke ni la kwake pekee yake.Kwani hiko kinachomwagwa ndani kinaingia kwa mwanamke au kwako, why unateseka wewe wakati ambae kinaingia kwake yeye hajari.....kwamba wewe ni Superman kudeal na matatizo ya wengine ambao wao hawajisumbui kubeba yako.
Very true. Mim naona tuanze na Elimu ili isaidie au?Wanawake wakipenda wanapenda kwelikweli.
Hawaambiwi, hawasikii wala hawaoni.
Yeah hapo nimekuelewa mkuu.1)Usidhani kila aliyezalishwa anahitaji kuolewa na baba mtoto zipo case nyingi baba mtoto anataka kuoa baada ya incidence mwanamke hayupo tayari.....Why unamsema mwanaume.
2)Kupewa mimba si tiketi ya kuolewa, kuolewa ni unasifa za kuoelewa una Utu na utulivu, sio jeuri unaonesha future, kwahio nimekupa mimba then jeuri nikuoe What thinking......Hapa unamsema mwanaume.
Kingine unapondika unaandika as if mwanamke ni TOY lenyewe halina akili, haliwezi kufanya chochote nk, wanawake wanapenda mwanaume wa namna yako wakuingize kwenye mifumo yao once ushakuwa FEMINIST na mwanaume.
Inaonekana humpi huduma yake.Miaka hii ya internet wanawake wanakutana na walimu wengi huko.
Ukioa kwa ndoa inayotambulika jiandae kufikisika muda wowote.
Kiufupi hii 50/50 itaendelea kuleta matatizo kwa wanawake,ni kizalishwa tuu no ndoa.
Sasa kama huyu hapo chini, kashauriwa huko aliko sshauriwa sasa anaulazimisha ugomvi ili tuu kuachana itokee ili alambe hiyo 50/50👇👇👇
View attachment 2936911
Duu hii si mchezo. Ila hayo ni matatizo ya ndoa huezi kukwepa matatizo yapo,Miaka hii ya internet wanawake wanakutana na walimu wengi huko.
Ukioa kwa ndoa inayotambulika jiandae kufikisika muda wowote.
Kiufupi hii 50/50 itaendelea kuleta matatizo kwa wanawake,ni kizalishwa tuu no ndoa.
Sasa kama huyu hapo chini, kashauriwa huko aliko sshauriwa sasa anaulazimisha ugomvi ili tuu kuachana itokee ili alambe hiyo 50/50👇👇👇
View attachment 2936911
Tatizo wanapenda ila wengi hawana viwango vya kuitwa 'mke.Very true. Mim naona tuanze na Elimu ili isaidie au?
Dada yangu, mama mdogo, shangazi nk......Hawa woote wakizalisha na kuwa single mothers hili si tatizo langu mimi ni Lao wao COME UP NIGGA kwani mimi nabeba mimba zao.Yeah upo sawa kuona tatizo la mwanamke ni la kwake pekee yake.
Ila pia kuna dada zetu wanazalishwa, kuna marafiki zetu wa kike wanazalishwa na mama zetu tumekua tukiona wanavoteseka kulea watoto pekee yao.
Em nambie wew mkuu, kwenye watu wanaokuzunguka hauna ndugu aliefikiwa na haya majanga? Je utakua bogasi sana kumsemea japo sio wewe unaepata hizo shida?
Vigezo vya kuwa mke anapaswa kujifunza wap labda tuanzie hapo. Na ni vigezo vip? Labda tuanzie hapo kuelimishanaTatizo wanapenda ila wengi hawana viwango vya kuitwa 'mke.
Kupenda na kuwa mke ni vitu viwili tofauti.
Wamejaa kelele na lawama na kujiona km ni special group
Anatakiwa kujifunza kwa wazazi wake.Vigezo vya kuwa mke anapaswa kujifunza wap labda tuanzie hapo. Na ni vigezo vip? Labda tuanzie hapo kuelimishana
Hatuongelei vijana wa kiume na single mothers tunaongelea vijana wa kiume wanaoleta hao single mothers.
And yes its true hawabakwi, (japo kuna wanaobakwa pia), ila baada ya binti kupata ujauzito eidha kwa kukubaliana au bahati mbaya kijana wa kiume ndiye wa kwanza kukimbia kukwepa majukum
Kweli si kweli?
Boss hujawajua wanawake vizuri, mwanamke kiumbe kinajifunza kwa njia ya maumivu.Yeah hapo nimekuelewa mkuu.
Lakini hoja haipo kuwaweka watu wote sehem moja.
Kila mtu ana case yake na mazingira yake. Ila hapa tunajaribu kujenga pale ambapo mwanaume anakosea maana yeye ndiye ana play part kubwa san kweny hii changamoto.
Its rarely kukuta binti kazalishwa halfu binti ndiye hatak kuolewa ila majority hua wanataka na wanaume ndo anakimbia uongo?
PIA ni kweli mimba isiwe tiketi ya kuolewa, hivyo basi na mwanaume kuanzia mwanzo angeenda kutembea na binti ambae akipata mimba ataweza kumuoa.
Ila sio akipata mimba ndio mtu unakumbuka mimba sio kigezo kuna utu, utulivu, jeuri n.k mbona wakati unamtongoza hadi unalala nae hukua unaangalia huo utu na jeuri?
Huduma gani mkuu....huyu anataka kuachana.Inaonekana humpi huduma yake.
Yeah kwenye ndoa matatizo yapo ila unapoona huyu kiumbe analazimisha maugomvi we timka tuu kabla hujalogwa ama kutiliwa sumu kwa msosiDuu hii si mchezo. Ila hayo ni matatizo ya ndoa huezi kukwepa matatizo yapo,
Kulala na mwanamke ni suala la NGONO na ndoa ni kitu tofauti kabisa sio suala la Ngono.Ila sio akipata mimba ndio mtu unakumbuka mimba sio kigezo kuna utu, utulivu, jeuri n.k mbona wakati unamtongoza hadi unalala nae hukua unaangalia huo utu na jeuri?
First of all mimi ni mwanaume Yes. Na sijaandika uzi kwa rengo la kutukanwa as FEMININE so kwa hili nitaliacha lipite maana hua sipendi kutukanana na mtu mitandaoni.Dada yangu, mama mdogo, shangazi nk......Hawa woote wakizalisha na kuwa single mothers hili si tatizo langu mimi ni Lao wao COME UP NIGGA kwani mimi nabeba mimba zao.
Kifupi ingekuwa dadayangu akibeba mimba siku ananiambia leo zamu yako kubeba tumbo yaani zama zama, hilo lingenihusu ungeona jinsigani mwanamke timamu anatakiwa kuwa ila once mimba inabeba yeye mimi unaniambia hili iweje sasa.
Inbidi ujue jukumu lako wewe kama kaka kwa dadayako ni lipi KUMPA MISINGI NA MIONGOZO BORA YA MAISHA NA MAHUSIANO KWA UJUMLA, hiki tunawafunza kila siku dadazetu na katika familia zetu mwanaume kuonekana mpaka kuja kujitambulisha anataka kuoa dadayetu That, sasa misingi yet tuliyompa na akafanya ujinga akapewa limit a na kuwa single mother huo ni mzigo wake kwanini uneimbie masuala yake tena.
Kwa mantiki ya hili hata wewe inabidi uwanyoshee vidole wanawake na kuwapa elimu wanawake once tatizo ni Lao na wao ndio wabeba mismzigo instead kufanya hivyo unakuja kusema wanaume ndio maana pale juu kuna jamaa kasema "kama uzi huu u.eandikwa na mwanaume ni hasara" mpaka sasa wewe ni FEMINE MAN.