Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

Bro unapiga dem kam mkeo, na kumwagia ndani juu.

Halafu sasa hivi unasema hua hautarajii mwanamke ashike mimba na warning unatoa.

You can not be serious bana.
Kwani hiko kinachomwagwa ndani kinaingia kwa mwanamke au kwako, why unateseka wewe wakati ambae kinaingia kwake yeye hajari.....kwamba wewe ni Superman kudeal na matatizo ya wengine ambao wao hawajisumbui kubeba yako.
 
Single mother mzee. Ukimuoa hawezi kuwa single mother and ukioa una embrace majukum.
1)Usidhani kila aliyezalishwa anahitaji kuolewa na baba mtoto zipo case nyingi baba mtoto anataka kuoa baada ya incidence mwanamke hayupo tayari.....Why unamsema mwanaume.

2)Kupewa mimba si tiketi ya kuolewa, kuolewa ni unasifa za kuoelewa una Utu na utulivu, sio jeuri unaonesha future, kwahio nimekupa mimba then jeuri nikuoe What thinking......Hapa unamsema mwanaume.

Kingine unapondika unaandika as if mwanamke ni TOY lenyewe halina akili, haliwezi kufanya chochote nk, wanawake wanapenda mwanaume wa namna yako wakuingize kwenye mifumo yao once ushakuwa FEMINIST na mwanaume.
 
Kwani hiko kinachomwagwa ndani kinaingia kwa mwanamke au kwako, why unateseka wewe wakati ambae kinaingia kwake yeye hajari.....kwamba wewe ni Superman kudeal na matatizo ya wengine ambao wao hawajisumbui kubeba yako.
Yeah upo sawa kuona tatizo la mwanamke ni la kwake pekee yake.

Ila pia kuna dada zetu wanazalishwa, kuna marafiki zetu wa kike wanazalishwa na mama zetu tumekua tukiona wanavoteseka kulea watoto pekee yao.

Em nambie wew mkuu, kwenye watu wanaokuzunguka hauna ndugu aliefikiwa na haya majanga? Je utakua bogasi sana kumsemea japo sio wewe unaepata hizo shida?
 
Miaka hii ya internet wanawake wanakutana na walimu wengi huko.
Ukioa kwa ndoa inayotambulika jiandae kufikisika muda wowote.
Kiufupi hii 50/50 itaendelea kuleta matatizo kwa wanawake,ni kizalishwa tuu no ndoa.
Sasa kama huyu hapo chini, kashauriwa huko aliko sshauriwa sasa anaulazimisha ugomvi ili tuu kuachana itokee ili alambe hiyo 50/50👇👇👇
Screenshot_20240317_094309.jpg
 
1)Usidhani kila aliyezalishwa anahitaji kuolewa na baba mtoto zipo case nyingi baba mtoto anataka kuoa baada ya incidence mwanamke hayupo tayari.....Why unamsema mwanaume.

2)Kupewa mimba si tiketi ya kuolewa, kuolewa ni unasifa za kuoelewa una Utu na utulivu, sio jeuri unaonesha future, kwahio nimekupa mimba then jeuri nikuoe What thinking......Hapa unamsema mwanaume.

Kingine unapondika unaandika as if mwanamke ni TOY lenyewe halina akili, haliwezi kufanya chochote nk, wanawake wanapenda mwanaume wa namna yako wakuingize kwenye mifumo yao once ushakuwa FEMINIST na mwanaume.
Yeah hapo nimekuelewa mkuu.

Lakini hoja haipo kuwaweka watu wote sehem moja.

Kila mtu ana case yake na mazingira yake. Ila hapa tunajaribu kujenga pale ambapo mwanaume anakosea maana yeye ndiye ana play part kubwa san kweny hii changamoto.

Its rarely kukuta binti kazalishwa halfu binti ndiye hatak kuolewa ila majority hua wanataka na wanaume ndo anakimbia uongo?

PIA ni kweli mimba isiwe tiketi ya kuolewa, hivyo basi na mwanaume kuanzia mwanzo angeenda kutembea na binti ambae akipata mimba ataweza kumuoa.

Ila sio akipata mimba ndio mtu unakumbuka mimba sio kigezo kuna utu, utulivu, jeuri n.k mbona wakati unamtongoza hadi unalala nae hukua unaangalia huo utu na jeuri?
 
Miaka hii ya internet wanawake wanakutana na walimu wengi huko.
Ukioa kwa ndoa inayotambulika jiandae kufikisika muda wowote.
Kiufupi hii 50/50 itaendelea kuleta matatizo kwa wanawake,ni kizalishwa tuu no ndoa.
Sasa kama huyu hapo chini, kashauriwa huko aliko sshauriwa sasa anaulazimisha ugomvi ili tuu kuachana itokee ili alambe hiyo 50/50👇👇👇
View attachment 2936911
Inaonekana humpi huduma yake.
 
Duu hii si mchezo. Ila hayo ni matatizo ya ndoa huezi kukwepa matatizo yapo,
 
Yeah upo sawa kuona tatizo la mwanamke ni la kwake pekee yake.

Ila pia kuna dada zetu wanazalishwa, kuna marafiki zetu wa kike wanazalishwa na mama zetu tumekua tukiona wanavoteseka kulea watoto pekee yao.

Em nambie wew mkuu, kwenye watu wanaokuzunguka hauna ndugu aliefikiwa na haya majanga? Je utakua bogasi sana kumsemea japo sio wewe unaepata hizo shida?
Dada yangu, mama mdogo, shangazi nk......Hawa woote wakizalisha na kuwa single mothers hili si tatizo langu mimi ni Lao wao COME UP NIGGA kwani mimi nabeba mimba zao.

Kifupi ingekuwa dadayangu akibeba mimba siku ananiambia leo zamu yako kubeba tumbo yaani zama zama, hilo lingenihusu ungeona jinsigani mwanamke timamu anatakiwa kuwa ila once mimba inabeba yeye mimi unaniambia hili iweje sasa.

Inbidi ujue jukumu lako wewe kama kaka kwa dadayako ni lipi KUMPA MISINGI NA MIONGOZO BORA YA MAISHA NA MAHUSIANO KWA UJUMLA, hiki tunawafunza kila siku dadazetu na katika familia zetu mwanaume kuonekana mpaka kuja kujitambulisha anataka kuoa dadayetu That, sasa misingi yet tuliyompa na akafanya ujinga akapewa limit a na kuwa single mother huo ni mzigo wake kwanini uneimbie masuala yake tena.

Kwa mantiki ya hili hata wewe inabidi uwanyoshee vidole wanawake na kuwapa elimu wanawake once tatizo ni Lao na wao ndio wabeba mismzigo instead kufanya hivyo unakuja kusema wanaume ndio maana pale juu kuna jamaa kasema "kama uzi huu u.eandikwa na mwanaume ni hasara" mpaka sasa wewe ni FEMINE MAN.
 
Main characters wa singo Maza ni singo Maza mwenyewe. Asilimia zaidi ya 90% mwanamke ndiye anayeongoza mahusiano.
Hatuongelei vijana wa kiume na single mothers tunaongelea vijana wa kiume wanaoleta hao single mothers.

And yes its true hawabakwi, (japo kuna wanaobakwa pia), ila baada ya binti kupata ujauzito eidha kwa kukubaliana au bahati mbaya kijana wa kiume ndiye wa kwanza kukimbia kukwepa majukum

Kweli si kweli?
 
Yeah hapo nimekuelewa mkuu.

Lakini hoja haipo kuwaweka watu wote sehem moja.

Kila mtu ana case yake na mazingira yake. Ila hapa tunajaribu kujenga pale ambapo mwanaume anakosea maana yeye ndiye ana play part kubwa san kweny hii changamoto.

Its rarely kukuta binti kazalishwa halfu binti ndiye hatak kuolewa ila majority hua wanataka na wanaume ndo anakimbia uongo?

PIA ni kweli mimba isiwe tiketi ya kuolewa, hivyo basi na mwanaume kuanzia mwanzo angeenda kutembea na binti ambae akipata mimba ataweza kumuoa.

Ila sio akipata mimba ndio mtu unakumbuka mimba sio kigezo kuna utu, utulivu, jeuri n.k mbona wakati unamtongoza hadi unalala nae hukua unaangalia huo utu na jeuri?
Boss hujawajua wanawake vizuri, mwanamke kiumbe kinajifunza kwa njia ya maumivu.

Talking kujari mwanamke na ndoa, mimi juzi tu kwenye mazungumzo randomly na bimkubwa tukaongelea ndoa nikawaambia mimi sina mambo mengi nitafutieni mwanmke just anaonekanika mimi naoa, kweli wakamtaja mmoja akaenda kuongeanae jamaa X anataka kukuoa jibu kasema hataki na mimi ukiniangalia sina mambo meengi mwanmke just akiwa vizuri na mazingira yapo safi naoa hata leoleo.....Unaona mwanamke kama huyo njia ya kuolewa na kupata mtoto ndani ya ndoa hio ipo akitokea Bad Boy akamtamani na kumoiga mimba na asimuoe hapa utamlaumu mwanaume.

Tatizo ni wanawake wenyewe sio wanaume.
 
Single mothers wengi wamepigwa mimba na vivulana .Mwanamke akishaona umri unakwenda na dalili za kuolewa hakuna na ana ajira ya kuendesha maisha kifuatacho ni kutongoza kivulana tu kimpe mimba ili asizeeke bila kuwa na mtoto
 
Ila sio akipata mimba ndio mtu unakumbuka mimba sio kigezo kuna utu, utulivu, jeuri n.k mbona wakati unamtongoza hadi unalala nae hukua unaangalia huo utu na jeuri?
Kulala na mwanamke ni suala la NGONO na ndoa ni kitu tofauti kabisa sio suala la Ngono.

Kila mwanamke anafaaa kwa ngono once ana sex organs ila si kila mwanamke anafaa kwa ndoa.

Mimi wakati natongoza naangalia kutimiza malengo yangu ya kingono au kindoa, iwe nimekutongoza kwa aim ya ngono au kukuoa wewe ndio utaamua uwe wa ngono tu au uwe wa ndoa.....ticketing au uamzi wa ndoa anao mwanamke kwamba mahusiano yawe ndoa mwanamke uanzi upo chini yake mwanume yeye kusema tu Timuoane.

Kufanya ngono na wewe haitaji utu na utulivu, ukitaka kuolew na mimi kuwa na utu na utulivu kwangu AM TELL YOU hata iwe nimekuzalisha watoto nane kimpigo mimi nitakuoa tu.

Tunarudi palepale mwanamke ndio inabidi awe makini na kufanya ngono si mimi, mimi sibebi mimba ujue.
 
Dada yangu, mama mdogo, shangazi nk......Hawa woote wakizalisha na kuwa single mothers hili si tatizo langu mimi ni Lao wao COME UP NIGGA kwani mimi nabeba mimba zao.

Kifupi ingekuwa dadayangu akibeba mimba siku ananiambia leo zamu yako kubeba tumbo yaani zama zama, hilo lingenihusu ungeona jinsigani mwanamke timamu anatakiwa kuwa ila once mimba inabeba yeye mimi unaniambia hili iweje sasa.

Inbidi ujue jukumu lako wewe kama kaka kwa dadayako ni lipi KUMPA MISINGI NA MIONGOZO BORA YA MAISHA NA MAHUSIANO KWA UJUMLA, hiki tunawafunza kila siku dadazetu na katika familia zetu mwanaume kuonekana mpaka kuja kujitambulisha anataka kuoa dadayetu That, sasa misingi yet tuliyompa na akafanya ujinga akapewa limit a na kuwa single mother huo ni mzigo wake kwanini uneimbie masuala yake tena.

Kwa mantiki ya hili hata wewe inabidi uwanyoshee vidole wanawake na kuwapa elimu wanawake once tatizo ni Lao na wao ndio wabeba mismzigo instead kufanya hivyo unakuja kusema wanaume ndio maana pale juu kuna jamaa kasema "kama uzi huu u.eandikwa na mwanaume ni hasara" mpaka sasa wewe ni FEMINE MAN.
First of all mimi ni mwanaume Yes. Na sijaandika uzi kwa rengo la kutukanwa as FEMININE so kwa hili nitaliacha lipite maana hua sipendi kutukanana na mtu mitandaoni.

Secondly nimeandika huu uzi kwa ajili ya kupata elimu kufunguana kimawazo na kujengana kama binadamu kwa sababu ya ujana tunaopitia. Mimi hata wewe boss sizani kama utapenda kumkuta binti ambae umemkubali baadae ukagundua ni baby mama wa mtu kisha zikaingia hizo dramas zote kisa tuu kuna jamaa couldn't kept it to his pants.

Third hatuwez wote tukakaa na mawazo sawa kila mtu awapondee jamii ya kike eti kisa sisi ni wanaume na hatuchukui shida zao, sijui upande wako bro ila mimi kama dada yangu anateseka hiyo shida ni yangu pia. Kama mamma yangu amenilea pekee yake hiyo ni shida yangu pia, kama rafiki yangu anateseka na mtoto taumia.

Labda nikuulize kaka . Kama dada ndo kapata huyo mtoto na yuko nyumbani huez kumsaidia kwa mawzo, mali na hata kwa kulea, au hautajihusisha kwa chochote kwa sababu alishakosea maelekezo yako? After all we all make mistakes why condemn mtu mwingine.

Fourth ningependa tushauriane kama vijana sio kuambiana FEMININE haijakaa poa kaka.

ASANTE.
 
Back
Top Bottom