Mbogo_beichee
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 224
- 608
- Thread starter
-
- #81
Ila wakati unaona mamb yanakua hivo umeshawai kujiuliza tatizo ni nin haswaYeah kwenye ndoa matatizo yapo ila unapoona huyu kiumbe analazimisha maugomvi we timka tuu kabla hujalogwa ama kutiliwa sumu
Wewe niambie ni kosa gani mwanamke huwa anakili kwamba ni lake?Yeah upo sawa kuona tatizo la mwanamke ni la kwake pekee yake.
Ila pia kuna dada zetu wanazalishwa, kuna marafiki zetu wa kike wanazalishwa na mama zetu tumekua tukiona wanavoteseka kulea watoto pekee yao.
Em nambie wew mkuu, kwenye watu wanaokuzunguka hauna ndugu aliefikiwa na haya majanga? Je utakua bogasi sana kumsemea japo sio wewe unaepata hizo shida?
Umeona hiyo sehem uliyosema kuhusu NGONO na ndoa. Sasa hapo ndio uzi huongelea.Kulala na mwanamke ni suala la NGONO na ndoa ni kitu tofauti kabisa sio suala la Ngono.
Kila mwanamke anafaaa kwa ngono once ana sex organs ila si kila mwanamke anafaa kwa ndoa.
Mimi wakati natongoza naangalia kutimiza malengo yangu ya kingono au kindoa, iwe nimekutongoza kwa aim ya ngono au kukuoa wewe ndio utaamua uwe wa ngono tu au uwe wa ndoa.....ticketing au uamzi wa ndoa anao mwanamke kwamba mahusiano yawe ndoa mwanamke uanzi upo chini yake mwanume yeye kusema tu Timuoane.
Kufanya ngono na wewe haitaji utu na utulivu, ukitaka kuolew na mimi kuwa na utu na utulivu kwangu AM TELL YOU hata iwe nimekuzalisha watoto nane kimpigo mimi nitakuoa tu.
Tunarudi palepale mwanamke ndio inabidi awe makini na kufanya ngono si mimi, mimi sibebi mimba ujue.
Hapa naona tatizo lipo kwenye CONTENT na CONTEXT, ngoja nikuweke sawa mimi nina assist kuondoa tatizo kwa kumpa elimu mwanamke mf dadayangu kabla ya tatizo you catch, ikitokea akapata mimba hilo si tatizo langu nitafanya nini na mimba kashapata na kuolewa ajaolewa WHAT CAN I DO nikamlazimishe mwanaume amuse au.....Tatizo ni lake ni yeye ndio sasa wakupambana na status yake ya single mother kupata mume wa kumuoa si mimi siwezi kusema dada nikupe elimu ABC.Third hatuwez wote tukakaa na mawazo sawa kila mtu awapondee jamii ya kike eti kisa sisi ni wanaume na hatuchukui shida zao, sijui upande wako bro ila mimi kama dada yangu anateseka hiyo shida ni yangu pia. Kama mamma yangu amenilea pekee yake hiyo ni shida yangu pia, kama rafiki yangu anateseka na mtoto taumia.
Dadayangu namsadia kihali na kimali kabla ya kupata huyo mtoto, since anazaliwa mimi namsaidia mpaka anakufa au nife mimi....Hii haindoi ukweli kuwa akiwa single mother zigo ni Lake yeye sio mimi, mimi ninaoa zangu bila tatizo na ninaweza kuoa hata nikiwa na watoto, naweza kuoa hata wake wanne kwenye soko la mahusino bado nabaki kuwa bidhaa bora ila yeye kwa status ya single mother kupata wa kumuoa ngumu angalia hiko kitu kama zigo kwake siwezi kumuondolea status ya kuwa single mother mimi angesikiliza miongozo yangu asingekuwa na hilo zigo.....nikisema zigo simaanishi roba la cement.Labda nikuulize kaka . Kama dada ndo kapata huyo mtoto na yuko nyumbani huez kumsaidia kwa mawzo, mali na hata kwa kulea, au hautajihusisha kwa chochote kwa sababu alishakosea maelekezo yako? After all we all make mistakes why condemn mtu mwingine.
Fourth ningependa tushauriane kama vijana sio kuambiana FEMININE haijakaa poa kaka.
ASANTE.
Ofcoz kuna makosa nao wanafanya sio kwamba ni malaika.Wewe niambie ni kosa gani mwanamke huwa anakili kwamba ni lake?
Kiasili mwanamke huwa anakwepa makosa yake, hata hili la singo Maza ni la mwanamke asilimia mia. Ila sema wao kila kosa lazima walikwepe na kutoa sababu za kijinga.
Hapo ndo unapozingua, anayetafutwa ni mnyama au ni toy? Inaelekea hicho kiumbe hakina fahamu hata kidogo.Umeona hiyo sehem uliyosema kuhusu NGONO na ndoa. Sasa hapo ndio uzi huongelea.
Kama unaona muda wa kuoa haujafika na hutarajii kwanini basi kutafuta mtu (wa ngono tuu) ambae unajua fika ikitokea mimba utakua umemuaribia maisha yake? Maana ni dhahiri fika hautamuoa.
Kwanini basi usisubiri au mtafute yule ambae unajua kabisa huyu hata nikimpa mtoto lazima ni muoe ndio umalizie shida zako hapo? Kuliko kwenda kumalizia shida kwa kila mtu. Mbaya zaidi na hamu hizo huwa haziishi
Sijui kwanini nina majibu mengi sana.Umeona hiyo sehem uliyosema kuhusu NGONO na ndoa. Sasa hapo ndio uzi huongelea.
Kama unaona muda wa kuoa haujafika na hutarajii kwanini basi kutafuta mtu (wa ngono tuu) ambae unajua fika ikitokea mimba utakua umemuaribia maisha yake? Maana ni dhahiri fika hautamuoa.
Kwanini basi usisubiri au mtafute yule ambae unajua kabisa huyu hata nikimpa mtoto lazima ni muoe ndio umalizie shida zako hapo? Kuliko kwenda kumalizia shida kwa kila mtu. Mbaya zaidi na hamu hizo huwa haziishi
Kaka nimekusoma sana hapo ni point sasa Umeona hiyo sehem umeandika Elimu. Kwanini tusifocus na hiyo for starter.Hapa naona tatizo lipo kwenye CONTENT na CONTEXT, ngoja nikuweke sawa mimi nina assist kuondoa tatizo kwa kumpa elimu mwanamke mf dadayangu kabla ya tatizo you catch, ikitokea akapata mimba hilo si tatizo langu nitafanya nini na mimba kashapata na kuolewa ajaolewa WHAT CAN I DO nikamlazimishe mwanaume amuse au.....Tatizo ni lake ni yeye ndio sasa wakupambana na status yake ya single mother kupata mume wa kumuoa si mimi siwezi kusema dada nikupe elimu ABC.
So nikisema si tatizo langu simaanishi eti mtoto akiumwa nisimsaidie pesa ya hospital, si tatizo langu kwenye ANGLE YA MAHUSIANO ndicho tunazungumzia hapa.
Nikuulize swali, Dadayako akishakuwa Single Mother utafanya nini wewe ??
Dadayangu namsadia kihali na kimali kabla ya kupata huyo mtoto, since anazaliwa mimi namsaidia mpaka anakufa au nife mimi....Hii haindoi ukweli kuwa akiwa single mother zigo ni Lake yeye sio mimi, mimi ninaoa zangu bila tatizo na ninaweza kuoa hata nikiwa na watoto, naweza kuoa hata wake wanne kwenye soko la mahusino bado nabaki kuwa bidhaa bora ila yeye kwa status ya single mother kupata wa kumuoa ngumu angalia hiko kitu kama zigo kwake siwezi kumuondolea status ya kuwa single mother mimi angesikiliza miongozo yangu asingekuwa na hilo zigo.....nikisema zigo simaanishi roba la cement.
Bootomline: tunapokosana sisi mimi nipo kwenye kutengeneza suala before mambo yaja haribika wewe maono yako yamebase ambapo tatizo sasa linatokea na Lisnaskea tena kwa kuwanyooshea violence wengine.
Sasa unaposema kuwa mwanamke anafaa kwa ngono na sio ndoa kumbuka hapo tunaongelea mtizamo na kiwango cha uvumilivuTunarudi palepale huyo mwanmke anafaa kwa ngono ila sio ndoa hapa tatizo lipo kwake si kwa mwanaume, sasa mwanaume ageuke maraika na kumuingia huyo mwanmke na kufanya awe na sifa za kuolewa IMPOSSIBLE.....Huyu maanayake hata niwe nishajipata na kuwa Millionaire na kumtongoza nimuoe bado nitaishia kufanya nae ngono tu haijarishi umemtongoza kwanini, ukiwa na hali gani bado yeye ni garasa....MWANAUME HUA TIMAMU KWENYE NDOA.
Em elezea vizuri unamaanisha niniSamahani muanzisha mada, unaongea haya kwa dhati au kuna jambo linakusukuma kuwa hivyo?
Suala la Single mothers ni jambo pana sana.
Bila kuumiza kichwa mtazalisha single mothers wengi zaidi kwa kudhani mnawasaidia.
Very true. Sex haijawai kuchanganywa na kitu kingine sio masomo wa maendeleoAll in all sexual may kill your dreams
Basi kama unasumbuliwa sana na ny*g* basi ungejituliza utafute binti wa uhakika kabisa ili umalize hizo nyg na chochote kikitokea si unakua umempata alie qualify basi hawez kuwa single mother maan definately utamuoa maana anavigezo vyote.2)MWANAUME, muda wote biologic process zinafanya kazi kwenye mwili wake, Nyeg** mida yote unakuwa nazo, nyeg** haziwezi subiri eti mpaka ujipate kiuchumi miaka 10 mbele na pia uhakika wa kujipata hauko sure, kivyovyote mwanaume lazima ufanye tendo anayepaswa KUWA MAKINI kuwa hili tendo linazalisha mtoto ni mwanamke si mwanaume, mimba habebi mwanaume.
Mwanamke akishakuwa single mother mbali na kupunguza mazoea na baba mtoto njia kubwa ya yeye kuwa na thamani ni kuwa na UTU NA UTULIVU TU kwa mwanaume atayempata ndani ya utu na utulivu kuna HESHIMA NA KUJARI, hakuna mwanaume mgumu wala mbabe kwenye hio package ya utu, utulivu, heshima na kujari hata huyo mtu awe mwenyekiti wa chama ch kataa single mother na a naongea kuponda single mother JF, Being Women ni rahisi sana basi tu.Kaka nimekusoma sana hapo ni point sasa Umeona hiyo sehem umeandika Elimu. Kwanini tusifocus na hiyo for starter.
Kama ulivompa elim sister mwanzo kuhusu mahusiano na ngono labda, kwanini elim inayofata isiwe namna gani atatakiwa aishi ili kupata nafasi ya kuolewa, after all huko ndio sehem kuu ambayo kila mtu anategemea awepo (ndoa) kumbuka wewe ni mwanaume na una upeo mpana zaidi wa kumjua mwanaume/wanaume wenzako huko nje wanapendelea nini kama wakiwa kwenye ndoa au mahusiano na single mother, na maana elimu haina mwisho.
Halafu tukimaliza hapo turudi kwa huyo mtu aliempa huyo mtoto ukikutana nae, nae utampa elimu ipi labda? Mimi ndio nimeiona nisema asubiri mpaka akijipata atafute mtoto na atakaempata ili atengeneze familia nae. Sio kuzalisha wadada wengine ambao anajua hawez kuwaoa.
1)ajipe thamani, mwanamke kujipa thamani rahisi mf akawa anajihusisha kushona sehemu tu just "ni fundi cherehani" thamaniDada yangu akiwa single mother kikbwa ambacho nitampa ni ushauri mzuri wa namna gani ya kuendelea na maisha baada ya pale ni namna gani aishi ili aweze kupata mume na namna gani ya kuhandle baba mtoto atakapo anza kuleta drama hapo uzi hauongelei hicho.
Uzi unaongelea kabla mambo hayajatokea pia. Ni ushauri kwa wanaume kuwa tupojitafuta tusiwe tunawaalibia maisha watu wengine.
Kama mwanamke Ana vigezo vyote then unampa mimba unakimbia, hapa nitasimama upande wa mwanamke huyu mwanaume ni Ana matatizo.Basi kama unasumbuliwa sana na ny*g* basi ungejituliza utafute binti wa uhakika kabisa ili umalize hizo nyg na chochote kikitokea si unakua umempata alie qualify basi hawez kuwa single mother maan definately utamuoa maana anavigezo vyote.
WELL SAID BRO HAPO IMEELEWEKA KABISA.Mwanamke akishakuwa single mother mbali na kupunguza mazoea na baba mtoto njia kubwa ya yeye kuwa na thamani ni kuwa na UTU NA UTULIVU TU kwa mwanaume atayempata ndani ya utu na utulivu kuna HESHIMA NA KUJARI, hakuna mwanaume mgumu wala mbabe kwenye hio package ya utu, utulivu, heshima na kujari hata huyo mtu awe mwenyekiti wa chama ch kataa single mother na a naongea kuponda single mother JF, Being Women ni rahisi sana basi tu.
Mimi sipo against Single mother maranyingi nipo against Mwanamke asiye na uwanamke ndani yake, Single mother nikiwanae hata leo akawa Submissive kwangu Ana utu, heshima, utulivu na kujari nitamchagua yeye over mwanamke ambae hana mtoto then masuala ya baba mtoto tutaona yanakiwaje.
View attachment 2936980
1)ajipe thamani, mwanamke kujipa thamani rahisi mf akawa anajihusisha kushona sehemu tu just "ni fundi cherehani" thamani
2)Awe mbali na baba mtoto akipata mahusiano
3)Awe na Utu na Utulivu kwa mwanaume
Yes, naungana na wewe kwa mwanaume hivyo muache kama unataka kuendeleanae bora kujikinga tu.Sasa unaposema kuwa mwanamke anafaa kwa ngono na sio ndoa kumbuka hapo tunaongelea mtizamo na kiwango cha uvumilivu
Kuna watu wanauwezo wa kuvumilia kuliko wengine,
Hivyo toka mwanzo ukiona huyu mwanamke ni wa ngono sio wa kuoa kwa sabab labda ni jeuri, hana sifa za mke n.k ungemuacha basi ili nae akatafute mtu ambae atamuona anafaa kuwa mke wake.
Na kama unaona ni mwanamke wa ngono kwanin basi kumzalisha? (Kuanzisha nae familia) ungetumia njia za kuzuia mimba ili umtumie kwa ngono tuu. (Kama unavosema ni mwanamke wa ngono)
Na kwenye kujikinga hautajikinga na mimba tuu bali hata na magonjwa pia.Yes, naungana na wewe kwa mwanaume hivyo muache kama unataka kuendeleanae bora kujikinga tu.