Mwanamke akishakuwa single mother mbali na kupunguza mazoea na baba mtoto njia kubwa ya yeye kuwa na thamani ni kuwa na UTU NA UTULIVU TU kwa mwanaume atayempata ndani ya utu na utulivu kuna HESHIMA NA KUJARI, hakuna mwanaume mgumu wala mbabe kwenye hio package ya utu, utulivu, heshima na kujari hata huyo mtu awe mwenyekiti wa chama ch kataa single mother na a naongea kuponda single mother JF, Being Women ni rahisi sana basi tu.
Mimi sipo against Single mother maranyingi nipo against Mwanamke asiye na uwanamke ndani yake, Single mother nikiwanae hata leo akawa Submissive kwangu Ana utu, heshima, utulivu na kujari nitamchagua yeye over mwanamke ambae hana mtoto then masuala ya baba mtoto tutaona yanakiwaje.
View attachment 2936980
1)ajipe thamani, mwanamke kujipa thamani rahisi mf akawa anajihusisha kushona sehemu tu just "ni fundi cherehani" thamani
2)Awe mbali na baba mtoto akipata mahusiano
3)Awe na Utu na Utulivu kwa mwanaume