Japo Kwa sehemu ilisaidia.Ila kwa maelezo yako inaonekana Mke/mchumba hana say sana inapofika kwenye swala la mahali maana nyie mlipanga 1m, halafu mkakuta 4m meaning 1m ya mchumba haikupewa uzito japo yeye ndo muolewaji
Mimba ni ya nani?? Hilo ndo swali kuu...Siku ukigundua huyo uliyenaye ana mahusiano ya wanaume wawili na wewe ukiwemo.
Siku akipata mimba, utahudumia?
Matatizo ya mahusiano ni mengi
Unajua DNA ya Tanzania au unaandika ili uonekane umeandika?Mimba ni ya nani?? Hilo ndo swali kuu...
DNA zipo, mkapime
Duu 4m kwamba inakua binti amesomeshwa sana ama?Japo Kwa sehemu ilisaidia.
Kama Wazee walipanga 4M na tukavutana hadi 2M inaonesha kulikuwa na mpambano mkali kwenye suala hilo.
Na ukipeleka Wazee wasiojielewa kwenye ku-bargain mahari lazima upigwe na Kiti Kizito
Sio kwangu pekee yangu wengi wa vijana sasa hivi wanakutana na kadhia hii.
Kuna wengine wanafika hadi 10MDuu 4m kwamba inakua binti amesomeshwa sana ama?
duuu si mchezo. Unaposema ametunzwa unamaanisha bikra ipo ama?Kuna wengine wanafika hadi 10M
Unakuta Binti ametunzwa, amesoma na ni mrembo pia π€
ππππ kwa hiyo kosa apo ni kumpa yote ama? Me naona kama kungekua na njia na uelewa wa shida zinazokuja za kua mzaz mmoja.Kuna ka binti kamebeba mimba..kajamaa kake kamebadilika mnoo yani hakamsemeshi kabisa hapo naona kabisa anaenda kuwa singo maza..kaniomba ushauri nikamwambia mnaona sisi dada zenu tulipoteza muda kuzaa tukiwa kwny familia zetu mlijua hatupendwi?? Pambaneni sasa na mimba za under age za viruka njia wenzenu...wtt wa siku hizi hawatulii wanasema wanampa yotee wanadhani ndo kupendwa? Msiwalaumu wanaume peke yao..
Sahihiduuu si mchezo. Unaposema ametunzwa unamaanisha bikra ipo ama?
Mwanaume rijali asie na akili ndo ataumia kwa kiwango sawa na chako.Unajua DNA ya Tanzania au unaandika ili uonekane umeandika?
1. Katika jambo ambalo mwanaume rijali hapendi kusikia ni kugongewa
2. DNA ya Tanzania majibu yote yapo sawa ni kwamba watakuambia mtoto ni wako ili kupunguza watoto wa mitaani. Kwahiyo huyo mtoto ni wako.
Siyo jambo rahisi kama ulivyoandika kama ni mhusika
Hapa umenena kwa ufasaha sana ndugu. Ukipanda utavuna.Ukigegeda bila kinga jua outcome ni kua na mtoto, unaletewa unakataa we si unakua chenga, acha migegedo uone kama kuna mwanamke atakuja kwako kusema ana mimba yako.
Duu hawa viumbe bado wapo kweli. Ama zile Virginity za mchongo.Sahihi
Unakuta ni virgin girl
πππ
Wanaume wa kizazi hiki wana ujinga mwingi sana.Hapa umenena kwa ufasaha sana ndugu. Ukipanda utavuna.
Wapo japo ni wachache kweli kweliDuu hawa viumbe bado wapo kweli. Ama zile Virginity za mchongo.