Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

Ila kwa maelezo yako inaonekana Mke/mchumba hana say sana inapofika kwenye swala la mahali maana nyie mlipanga 1m, halafu mkakuta 4m meaning 1m ya mchumba haikupewa uzito japo yeye ndo muolewaji
Japo Kwa sehemu ilisaidia.

Kama Wazee walipanga 4M na tukavutana hadi 2M inaonesha kulikuwa na mpambano mkali kwenye suala hilo.

Na ukipeleka Wazee wasiojielewa kwenye ku-bargain mahari lazima upigwe na Kiti Kizito
 
Mimba ni ya nani?? Hilo ndo swali kuu...
DNA zipo, mkapime
Unajua DNA ya Tanzania au unaandika ili uonekane umeandika?
1. Katika jambo ambalo mwanaume rijali hapendi kusikia ni kugongewa
2. DNA ya Tanzania majibu yote yapo sawa ni kwamba watakuambia mtoto ni wako ili kupunguza watoto wa mitaani. Kwahiyo huyo mtoto ni wako.
Siyo jambo rahisi kama ulivyoandika kama ni mhusika
 
Japo Kwa sehemu ilisaidia.

Kama Wazee walipanga 4M na tukavutana hadi 2M inaonesha kulikuwa na mpambano mkali kwenye suala hilo.

Na ukipeleka Wazee wasiojielewa kwenye ku-bargain mahari lazima upigwe na Kiti Kizito
Duu 4m kwamba inakua binti amesomeshwa sana ama?
 
Kwamba unatafutiwa mwanamke wa kuoa?? Mbona kama ukakasi kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwangu pekee yangu wengi wa vijana sasa hivi wanakutana na kadhia hii.

1. Kuoa tuu dem ana mtoto meaning kuna bajet utaanza kuingia ambazo kiuhalisia hazikuhusu.

2. Pili mara nyingi mabinti wenye watoto wanakua na drama nying sana, kuanzia kwa baba mtoto wake na hata yeye mwenyewe.

3. Dharau. Sijui kwanin mwanaume anapomuoa binti mwenye mtoto huyo mwanaume anakua kama ndo anajipendekeza.

4. Pone ya muoaji hua ni kama baba wa mtoto akiwa hali ya chini na yeye yupo juu kwa kipato. Ila kama bba wa mtoto yupo vizuri kuzidi yeye... muoaji ategemee dhoruba ya hatari.
 
Kuna ka binti kamebeba mimba..kajamaa kake kamebadilika mnoo yani hakamsemeshi kabisa hapo naona kabisa anaenda kuwa singo maza..kaniomba ushauri nikamwambia mnaona sisi dada zenu tulipoteza muda kuzaa tukiwa kwny familia zetu mlijua hatupendwi?? Pambaneni sasa na mimba za under age za viruka njia wenzenu...wtt wa siku hizi hawatulii wanasema wanampa yotee wanadhani ndo kupendwa? Msiwalaumu wanaume peke yao..
 
😂😂😂😂 kwa hiyo kosa apo ni kumpa yote ama? Me naona kama kungekua na njia na uelewa wa shida zinazokuja za kua mzaz mmoja.

Zifundishwe kwa vijana wote wa kike na wa kiume. Na elimu inaanzia na sisi tuliopo hum
 
images - 2024-03-20T204142.193.jpeg
 
Unajua DNA ya Tanzania au unaandika ili uonekane umeandika?
1. Katika jambo ambalo mwanaume rijali hapendi kusikia ni kugongewa
2. DNA ya Tanzania majibu yote yapo sawa ni kwamba watakuambia mtoto ni wako ili kupunguza watoto wa mitaani. Kwahiyo huyo mtoto ni wako.
Siyo jambo rahisi kama ulivyoandika kama ni mhusika
Mwanaume rijali asie na akili ndo ataumia kwa kiwango sawa na chako.

Muumbe mwanamke wako ili asikusaliti, ni akili kidogo tu inahitajika kucontrol hisia zako usiumie hovyo hovyo.
Leo hii urijali unaupima kwa maumivu unayopata kwa kusalitiwa??

Kama huiamini DNA ya bongo basi achana na mambo ya kufanya mapenzi, simple tu.

Ukigegeda bila kinga jua outcome ni kua na mtoto, unaletewa unakataa we si unakua chenga, acha migegedo uone kama kuna mwanamke atakuja kwako kusema ana mimba yako.
 
Tamaa zao tuu hao watoto wa kike na wao wasikubali na wasigawe mbususu zao Kwa hao Wanaume ambao hawajajipata sasa
 
Back
Top Bottom