Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Japo Kwa sehemu ilisaidia.Ila kwa maelezo yako inaonekana Mke/mchumba hana say sana inapofika kwenye swala la mahali maana nyie mlipanga 1m, halafu mkakuta 4m meaning 1m ya mchumba haikupewa uzito japo yeye ndo muolewaji
Kama Wazee walipanga 4M na tukavutana hadi 2M inaonesha kulikuwa na mpambano mkali kwenye suala hilo.
Na ukipeleka Wazee wasiojielewa kwenye ku-bargain mahari lazima upigwe na Kiti Kizito