Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

Sasa tatizo matoto ya masingle mother ndio yanaendeleza utamaduni unakuta likifika miaka 16 tu linakataa shule, linakwenda kutangatanga huko mikoani linatia mimba binti wa mtu linapita hivi.

Hapo litakwenda kuharibu mabinti kadhaa. The cycle continues.
 
Ni kweli kabisa kadili siku zinavoenda ndo single mother wanazidi kuongezeka miak ya baadae itakua balaa zaidi
Na hali hii ikiendelea inaweza kuchangia kupata Vijana wengi wa kiume wenye ukike kike sana, maana muda mwingi wa makuzi yao watakuwa wanaonana na Mama yao zaidi ya Baba
 
Sio tuu hivo. Hata ukomavu katika utafutaji wa maisha watoto watakua wanachelewa kukomaa au kutokukomaa kabsa. Mana wanawake wanatabia ya kudekeza watoto. Unakuta kijana anamiaka 30 ila anaona sawa kukaa nyumban tuu
 
Yeah umeongea sahihi Mkuu
 
Yeah umeongea sahihi Mkuu
Ila mwanaume anakawaida ya kumzoesha mtoto kutokudeka (hawadekezi) akiwa bado na umri mdògo kabisa. Mpaka kijana akiwa na miaka 21 unakuta ameshakomaa ķabisa anakua anawaz kwenda kujitegemea.
 
Ni kweli Mkuu

Mimi mwenyewe nilifundishwa Elimu ya kujitegemea na familia tangu tupo jandoni

Na niliweza kujenga "gheto" langu(Chumba kimoja ya udongo/nyasi) nikiwa na miaka 16 walau kuwa na Uhuru.

Enzi hizo gheto nimelipamba na magazeti Ukutani huku nina redio ambayo Spika nimetoboa nimeweka kwenye mtungi/ndoo ya Maji ili kupata "base"

Siku hizi Kuna Vijana baadhi hadi wanafikisha umri wa miaka 32 lakini unakuta bado wanaishi kwao
 
Kwa Ufupi kataa ndoa, Chapa mbususu kwa sana ukijipata tumia hela zako mwenyewe Wanawake wa siku hizi ukiwaonea huruma watakuua KATAAA NDOAAA HATA UKIJIPATA
 
Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana.

Basi hii isipelekee kuwatesa viumbe wa upande wa pili basi.

Utakuta mwanaume anasema ooh. Mimi kuoa mpaka nikijapata sasa kipato changu cha kulea familia hakijitoshelezi, ilo unalosema ni sawa sasa mbona unaendelea kugawa mimba kwa wadada zetu, ko hao watoto wanatakiwa kulelewa na nani aliejipata?

Wewe unasema ukijipata ndio utaoa ili uweze kulisha familia yako, wakati muda huo huo unaendelea kutengeneza familia nyingine (ili ilelewe na nani sasa).

Em kuweni WAUNGWANA BASI. Kama unataka Familia siku ukijipata basi subiri muda huo ndio utengeneze hizo familia, sio kutubuluzia wadada zetu tunaishia kuwa na SINGLE MOTHERS kibao.

Siku hizi kila ukitongoza Dem ana mtoto. Kuoa dem mwenye mtoto inaanza kuwa kawaida sasa hivi.

Demu kuwa na mtoto mmoja imeanza kuwa afadhali sasa hivi kuna madem wana watoto mpaka wa3 baba tofauti.

Hii inachosha jamani. kha.
Acha wapewe mimba, si wamekubali? Tatizo wadada wanatukataa tunaowapenda kweli, wanaenda Kwa ma playboy. Mimi kamwe, siwezi Kuja kuoa Binti ambaye sio bikira au ana mtoto Kwa sababu sijawahi kumbikiri Wala kumpa mimba Binti yoyote. Na siwezi kumuamini Binti yoyote ambaye ananiambia alipewa mimba Kwa bahati mbaya maana sio kudondoka kana kwamba alidondoka Kwa bahati mbaya.

Cha zaidi, mwanaume, ukipata pesa, acha ku date na mabinti wenye njaa, oa mwenye pesa kama wewe maana hata wao wasingekubali ku date na wewe kama hauna pesa.
 
Sasa tatizo matoto ya masingle mother ndio yanaendeleza utamaduni unakuta likifika miaka 16 tu linakataa shule, linakwenda kutangatanga huko mikoani linatia mimba binti wa mtu linapita hivi.

Hapo litakwenda kuharibu mabinti kadhaa. The cycle continues.
Yah hapo ni kweli. Wanaoendeleza hili tatizo wengi wao hutoka kwenye tatizo lenyewe
 
Ni kweli Mkuu

Mimi mwenyewe nilifundishwa Elimu ya kujitegemea na familia tangu tupo jandoni

Na niliweza kujenga "gheto" langu(Chumba kimoja ya udongo/nyasi) nikiwa na miaka 16 walau kuwa na Uhuru.

Enzi hizo gheto nimelipamba na magazeti Ukutani huku nina redio ambayo Spika nimetoboa nimeweka kwenye mtungi/ndoo ya Maji ili kupata "base"

Siku hizi Kuna Vijana baadhi hadi wanafikisha umri wa miaka 32 lakini unakuta bado wanaishi kwao
😂😂😂🤣🤣🤣🤣 hapo kwenye spika na ndoo. Nimecheka kwa sauti
 
Acha wapewe mimba, si wamekubali? Tatizo wadada wanatukataa tunaowapenda kweli, wanaenda Kwa ma playboy. Mimi kamwe, siwezi Kuja kuoa Binti ambaye sio bikira au ana mtoto Kwa sababu sijawahi kumbikiri Wala kumpa mimba Binti yoyote. Na siwezi kumuamini Binti yoyote ambaye ananiambia alipewa mimba Kwa bahati mbaya maana sio kudondoka kana kwamba alidondoka Kwa bahati mbaya.

Cha zaidi, mwanaume, ukipata pesa, acha ku date na mabinti wenye njaa, oa mwenye pesa kama wewe maana hata wao wasingekubali ku date na wewe kama hauna pesa.
Duuu hapo kuna point sana tuu. Mabinti nao wameendekeza kupenda hela kuliko mapenz.

Wanajilaghai kua eti mwanamke matunzo. Ila hawa wambii mababa zao wawatunze. Wanatak viboyfriend ndo viwatunze.

Sasa mwanaume akiona dem mkali ila ndo ivo hatulii na anaendekeza pesa. Anaona baada ya mimba anajitoa tuu
 
Kwa Ufupi kataa ndoa, Chapa mbususu kwa sana ukijipata tumia hela zako mwenyewe Wanawake wa siku hizi ukiwaonea huruma watakuua KATAAA NDOAAA HATA UKIJIPATA
Hizo hizo mbusus unazochapa ndo zinaleta masingle mother kibao.
 
😂😂😂🤣🤣🤣🤣 hapo kwenye spika na ndoo. Nimecheka kwa sauti
Ukifungua Spika yako ndogo kwenye mtungi wa Maji ama ndoo lazima sauti inatoka nzito/base na kubwa kuliko Ukubwa wa redio yenyewe.

Tena miaka ile redio zilikuwa tunatumia betri za Panasonic kubwa

Those were days 🤗
 
Shida ni mwanamke kuamua kuzaa na mwanaume asiye na future nae
 
Ukifungua Spika yako ndogo kwenye mtungi wa Maji ama ndoo lazima sauti inatoka nzito/base na kubwa kuliko Ukubwa wa redio yenyewe.

Tena miaka ile redio zilikuwa tunatumia betri za Panasonic kubwa

Those were days 🤗
Indeed those were days.

Ubunifu mkubwa sanaa
 
Hizo hizo mbusus unazochapa ndo zinaleta masingle mother kibao.
Wachapwe tu maana wanawake wa sikuhizi hawajui wanataka nini ukiwa maskini wanakukataa kwa kejeli ukijipata wanajileta na mimba wanajibebesha ili tu wakombe hela zako dawa yao ni kuchapa tu mpe na onyo kabisa kua No Mimba akijibebesha mimba mtemee mbali Hakuna huruma kwa Wanawake wa sasa
 
Back
Top Bottom