KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
NdioDuu...!!
Loh!
Nimeupenda mchexo wa soka ( football) Kabla sijabalehe. Football is my Love.Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
IPO namnaKwa hili la [emoji460] ongea kitu kingine maana hamna namna!!
Aondoke tu nitamsaidia hata kukusanya visepe vyake.Hv akikwambia chagua moja umuache yaani umpe talaka yake
Au uwe naye lakini uache kwenda mpirani, utachagua lipi?!
Hahahahaaa matokeo ya papuchi ni ngapi Kwa ngapi mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Papuchi matokeo yanajulikana ila Moira hayajulikani hivyo lazima niende kucheki mpira tu papuchi ntaikuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke ana wazim huyu yaani aombe talaka kisa nimeenda mpirani??hiyo ndoa au datingHv akikwambia chagua moja umuache yaani umpe talaka yake
Au uwe naye lakini uache kwenda mpirani, utachagua lipi?!
Ni bora hivyo but kuna wengine wanadai eti Moira wa kuangalia home haunogi eti kwa vile unakuwa peke yako kwahiyo unakuta mtu anaacha TV kwake anaenda huko video show au baa eti anafata mashabiki wenzieNzuri zaidi ni pale inapokuwa, Nyumbani umeweka King'amuzi cha CCM (Startimes) na Nyumba ndogo umemfugia Dstv....
Utakuwa unatazama mpira ukiwa na Shabiki wako wa kweli pembeni...
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu...!!Unajua kuna kipnd ligi znaisha kabsa lakn mke yupo tu daily..[emoji3][emoji3]
Same us me....weekend bila epl kwangu n ya kiboy sanAisee acha kabisa kama mm napenda mpira mpaka basi wkend kama hamna premier league nakuwa bored sana
Utamu nini, kwani unadhani huo utamu wa ndoa kaanza kuuona juzi baada ya ndoa kufungwa msikitini/kanisani? Alishaupata sana tu na ndoa haijaongeza lolote ni hatua tu ya kiroho. Ila kila mechi ya soka ina utamu wake aisee.Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani!
Kuna ndoa moja hapa imefungwa kama mwezi mmoja uliopita hivi lakini bwana harusi tangu bado wako fungate anamuacha mkewe anaenda mpirani
Hivi mnataka kunambia mpira ni mtamu kuliko wake zenu?
BADILIKENI WAJAMENI
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] anaonekana asipoangalia mpira wiki nzima anapata arost km mlevi wa ngada
Anaweza kumuacha mkew ili akaangalie kaka...Habari! Nachojua ni kwamba shabiki wa kweli wa mpira ni ngumu sana akaacha kuangalia timu anayoshabikia inapocheza live, ambacho sijui ni kama anaweza kumuacha mkewe ili akaangalie mpira.
Duu..!!! Siku zake zilifika tu huyooKuna mshabiki wa Arsenal alijinyonga kenya...so bora ungeongelea kuhusu juice ya miwa aisee..