Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
-
- #121
[emoji4] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Dada unajua utamu wa kushabikia Arsenal wewe, yaani hata ifungwe unaipenda tu
Halafu gemu ikipangwa saa 3 inafanyika saa 3 na huakika wa mabao upo, ila hapo kitandani ukinuna hamna gemu ni mzungu wa nne
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Nunua king'amuzi uangalie hapo hapo homePapuchi matokeo yanajulikana ila Moira hayajulikani hivyo lazima niende kucheki mpira tu papuchi ntaikuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji8] [emoji8] [emoji7][emoji57] [emoji57] [emoji57]
Siuwezi hata nikijaribu kuangalia nasinzia tu
Mmh!!humo kwenye kelele kuna wengine wanabishanaga mpaka wanataka kutiana mkononiMpira ni raha. Nimecheza, nimeangalia mpaka wkati naoa pia alkuwa anajua napenda mpira. raha ya mpira uangalie kwenye kelele.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uliwaza mbali mkuunilivyoona neno mpira nilijua zana ya maangamizi kumbe mpira wa miguu!
Sijakuelewa ujueTunaogopa kuzalauliwa na wake zetu,... Ukipenda sana mwanamke anakuzarau, bora nile na vyaa nje,...
So far papuchi ipo tu wakati raha ya mpira ni kuona LIVE.Wee ongea kitu kingine Ila sio mpira, mpira ni mtamu zaidi ya papuchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ni kubembeleza ndoa tu[emoji4]Wakati wa uchumba mnatusindikiza hadi vibanda umiza, tumeoana eti unashangaa vile napenda mpira!
DuuFirst Priority Mpira
Kwahiyo ukifungwa unaliaga?!Mimi mwanamke yeyote yule nikimtongoza huwa namwambia starehe yangu ya kwanza mpira then unafatia wewe...
Kwahiyo anajua siku chama la wana UNITED likicheza anatulizana mpaka uishe..
Na tukifungwa atajua tu kazi inakuwa kwake kuniliwaza[emoji39][emoji2].
Nenda kazini mkuu utaangalia recorded[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mpira ni kilevi changu... Weekend hii tunakipiga na Stoke city... Halafu boss wangu kanipangia kazi ngumu hii weekend.... Nawaza itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi inabidi ulee ndoa...🙂Ilikuwa ni kubembeleza ndoa tu[emoji4]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] sana mama, yani ulinitoa kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uliwaza mbali mkuu