Wanaume mnaopenda Mpira

Wanaume mnaopenda Mpira

Wee achana na mambo ya mpira bwana, ni habari ingine, na hivi wametuongezea na beting tena, ndio wamezidisha mzuka kabisaaa,
Mshabiki aliebet hata dushe halisimami eti... Nawaona sana wanavyoishi kwa presha
 
kiukweli huwez kunizuia kuangalia liverpool yangu eti kisa nikae na wewe,,kama huwez kuvumilia dakika zangu 90 za kuangalia mpira basi wewe huwez kuvumilia nikiumwa au nikisafiri mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa yaan wao wanadhan kugandana ndani kama siafu ndio mapenz wakat mimi akili yangu haiko hapo...hata anishike vipi dushe haliamki maana nawaza mpira..Ila nirudi saasa na tuwe tumeshida atafurahi.Nalala kidumu chote kiko tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom