Wanadhani tunashindwa kufungua Id za kiume mbwa hawaMara tunawaua wanaume,mara tunawaomba hela,mara marriageless wakati hata hujawahi sema "Yes I do"
kama hawatutaki waseme tutoke wabaki wenyewe.
KabisaaWanadhani tunashindwa kufungua Id za kiume mbwa hawa
Ahahaha ila kiukwel wanaume hapa JF nongwa zimezid dhidi ya wanawake!.Wanadhani tunashindwa kufungua Id za kiume mbwa hawa
Kashakula ban huyu tayariMzee wa dislike karbu vp tukurudishie dislike zako au tuache?
Yaaani hadi keroAhahaha ila kiukwel wanaume hapa JF nongwa zimezid dhidi ya wanawake!.
Sema nadhan ni utan wa jad tuu..not serious ahahahahahYaaani hadi kero
kakosea wapi uyuye34ben IS BANNED
Nipende kuwashukuru wachangiaji wooote wa uzi huu ambao tulikua mstar wa mbele kuweka dislike kwenye uzi wa huyu @ye34ben.
Kwakwel nafikiri tuna mchango wa kumfanya jamaa apigwe ban
Eeeh si kama ww ulivo pochilessWewe unaona pisi ipo jf na ni mchangiaji kila siku,unategemea iwe pisi kali tangu lini.Pisi nyingi za jf ni jobless,marriageless na beautyless
Uzi ufungwePisi kali huwa hazipendi kuwa ghost, Zenyewe hupenda kuonekana na watu so, huu mtandao huvutia zaidi pisi zenye sura personal Cos humu ndo zenyewe hujifeel comfortable.
Uzi ufungwe
Tofautisha wanaume na wavulana.Ahahaha ila kiukwel wanaume hapa JF nongwa zimezid dhidi ya wanawake!.
Me ambaye nimekosa sura na shepu inakuwaje hapo zemandaIssues sio sura, shape ndio kila kitu unaweza kuwa na sura ya baba yako ila shape na body ya maana, aaaaah mbona unavumiliwa tu na mahusiano yatahusika bila shida.
๐๐ข๐๐ข ๐ฐ๐๐ ๐ฆ๐ข๐ฆ๐ข ๐ง๐๐ฆ๐ข ๐๐๐๐ฎ. ๐๐๐ฐ๐ ๐๐ข๐๐ข ๐ฆ๐ข๐ฆ๐ข ๐๐๐๐ฎ๐Hapana mkuu me ni sawa na bibi yako
Muwe mnaacha uongoSio mimi huyooo wala sifananii naye hataa me ni makamo ya bibi yako
Kuna mmoja ni kidume anajifanya mdada anatafuta mume....Nimemwambia akiendelea hivyo ipo siku nitamuweka wazi ajulikane na utapeli wake. Sababu kuna watu wataingia mkenge wakijua ni mdada anatafuta ndoa kumbe dume.Wakuu za sahizi, ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu mnaenda kupigwa huko na vitu vizito watu mpaka mnaotana aseee ๐ ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Huwezi kuwa serious, kabisa, Mngeona hizo sura alafu useme urudi kwenye avatar mngekimbiana humu Personally Nimestaafu na ku abolish rasmi kuzama zama pm hovyo Sa hivi sizami, tena Ukitaka kuwa na dem humu ni bora uangalie personality na sio avatar, Narudi tena MTAENDA KUPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI Hizi avatar humu 1% or less ndo zenye uhalisia other than that hamna kazi
Mkuuu Maxence Melo nashukuru sana kwa kufanya huu mtandao kuwa huru, umenifungua macho yangu kwenye mengi sana
Till next time ๐๐๐๐๐
KAA CHONJO
Nimekaa ๐๐๐๐ na wanangu sana
View attachment 2631699
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtajeeeeKuna mmoja ni kidume anajifanya mdada anatafuta mume....Nimemwambia akiendelea hivyo ipo siku nitamuweka wazi ajulikane na utapeli wake. Sababu kuna watu wataingia mkenge wakijua ni mdada anatafuta ndoa kumbe dume.
Wanaume tunasitahiana @ Coca...๐คฃ๐คฃ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtajeeee