Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Si ndo vile wanasema angalia inner beauty. Kwa hiyo men mtembee na Xray kuona hiyo inner beauty.
20230406_063419.jpg
 
Wakuu za sahizi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu mnaenda kupigwa huko na vitu vizito watu mpaka mnaotana aseee 😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Huwezi kuwa serious, kabisa, Mngeona hizo sura alafu useme urudi kwenye avatar mngekimbiana humu Personally Nimestaafu na ku abolish rasmi kuzama zama pm hovyo Sa hivi sizami, tena Ukitaka kuwa na dem humu ni bora uangalie personality na sio avatar, Narudi tena MTAENDA KUPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI Hizi avatar humu 1% or less ndo zenye uhalisia other than that hamna kazi

Mkuuu Maxence Melo nashukuru sana kwa kufanya huu mtandao kuwa huru, umenifungua macho yangu kwenye mengi sana

Till next time 😎😎😎😎😎

KAA CHONJO

Nimekaa 👉👉👉👉 na wanangu sana
View attachment 2631699
Kuna mmoja ni kidume anajifanya mdada anatafuta mume....Nimemwambia akiendelea hivyo ipo siku nitamuweka wazi ajulikane na utapeli wake. Sababu kuna watu wataingia mkenge wakijua ni mdada anatafuta ndoa kumbe dume.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtajeeee
 
Back
Top Bottom