Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Hapana mkuu me ni sawa na bibi yako
 
Mkuu hii
Huu ni udhalilishaji, ukweli ni kinyume chake na uliyoyaandika hapa.

Wengi sasa hivi hawachangii mada au wanachangia Mara chache sana kwa sababu kizazi kipya cha JF mmekosa adabu na heshima
๐Ÿ˜‚
Mkuu Vijana wameamua humu kwa hiyo inabidi kwenda nao tu hivyo hivyo. Hivi wakina Masanilo Smile , Yo to , Woman of Substance, Preta nk unawaona tena humu ?
 
[emoji1787] Kwahiyo unatushaurije sasa hivi sura zetu za baba halafu tuweke avatar mbaya hapana kwakweli pisi kali kazifate tu insta huku tumebaki mashangazi yako
Issues sio sura, shape ndio kila kitu unaweza kuwa na sura ya baba yako ila shape na body ya maana, aaaaah mbona unavumiliwa tu na mahusiano yatahusika bila shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ