Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Watajua hawajui[emoji1][emoji1][emoji1]Wajichanganye sasa auntie [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watajua hawajui[emoji1][emoji1][emoji1]Wajichanganye sasa auntie [emoji1787][emoji1787]
Wanachokiagiza sio kile wanachokipata [emoji1787][emoji1787]Watajua hawajui[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanachokiagiza sio kile wanachokipata [emoji1787][emoji1787]
Kwamba hatujawahi ona picha zako kwenye gari za Mkoloni?Uongo upi sasa
[emoji1787][emoji1787] Najua mmewahi kuona root ndio maana naongea ukweli wanguKwamba hatujawahi ona picha zako kwenye gari za Mkoloni?
Ujue kwenye jukwaa lenu la Kuonesha picha huwa tunahudhuria na kudownload picha afu twatunza kumbukumbu[emoji1787][emoji1787] Najua mmewahi kuona root ndio maana naongea ukweli wangu
[emoji1787][emoji1787] hilo jukwaa sijapost picha miaka miwili au mitatu iliyopitaUjue kwenye jukwaa lenu la Kuonesha picha huwa tunahudhuria na kudownload picha afu twatunza kumbukumbu
Mdogo Kama mdogo sasa..😎😎[emoji1787] Kwahiyo unatushaurije sasa hivi sura zetu za baba halafu tuweke avatar mbaya hapana kwakweli pisi kali kazifate tu insta huku tumebaki mashangazi yako
Itakuwa mirinda nyeusi si etiiNilidhani mtamu kama mirinda
Ongea taratibu watakucheka wenzio [emoji1787] halafu ulipotelea wapi we mtu mda sana sijakuonaMdogo Kama mdogo sasa..[emoji41][emoji41]
Basi jua ulishapost ukiwa kwenye mercedes au bmw kama sijakosea[emoji1787][emoji1787] hilo jukwaa sijapost picha miaka miwili au mitatu iliyopita
Kama ulikuwepo vile kwenye kichwa changu [emoji23] maana hakuna mirinda tamu kama ileItakuwa mirinda nyeusi si etii
Nimecheka mpaka nimepaliwa umenifananisha Root [emoji23] baiskeli yenyewe sina ndio niwe kwenye Mercedes au bmw ila baraka hizo acha nizipokee tuBasi jua ulishapost ukiwa kwenye mercedes au bmw kama sijakosea
Najua hiyo tamu sana upate sasa iwe baridi sanaaaKama ulikuwepo vile kwenye kichwa changu [emoji23] maana hakuna mirinda tamu kama ile
Ewaaah, yaani alafu sasa uwe na kiu kile cha muda mrefu na zile maenergy ambazo umehidafhibkwa muda [emoji23] sasa ahhhh, utaifakamia hatarNajua hiyo tamu sana upate sasa iwe baridi sanaaa
Wacha tuiache hivyo hivyoNimecheka mpaka nimepaliwa umenifananisha Root [emoji23] baiskeli yenyewe sina ndio niwe kwenye Mercedes au bmw ila baraka hizo acha nizipokee tu