Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Ndio maana ni huwa naangalia mwandiko na comment, wenye mwandiko ovyo na comment nyepesi sana jua hiyo ni pisi ya maana. Kama huamini nenda faculty ya engineering. Sura za wazee zipo huko
 
[emoji1787][emoji1787] Najua mmewahi kuona root ndio maana naongea ukweli wangu
Ujue kwenye jukwaa lenu la Kuonesha picha huwa tunahudhuria na kudownload picha afu twatunza kumbukumbu
 
Ujue kwenye jukwaa lenu la Kuonesha picha huwa tunahudhuria na kudownload picha afu twatunza kumbukumbu
[emoji1787][emoji1787] hilo jukwaa sijapost picha miaka miwili au mitatu iliyopita
 
[emoji1787] Kwahiyo unatushaurije sasa hivi sura zetu za baba halafu tuweke avatar mbaya hapana kwakweli pisi kali kazifate tu insta huku tumebaki mashangazi yako
Mdogo Kama mdogo sasa..😎😎
 
Basi jua ulishapost ukiwa kwenye mercedes au bmw kama sijakosea
Nimecheka mpaka nimepaliwa umenifananisha Root [emoji23] baiskeli yenyewe sina ndio niwe kwenye Mercedes au bmw ila baraka hizo acha nizipokee tu
 
Najua hiyo tamu sana upate sasa iwe baridi sanaaa
Ewaaah, yaani alafu sasa uwe na kiu kile cha muda mrefu na zile maenergy ambazo umehidafhibkwa muda [emoji23] sasa ahhhh, utaifakamia hatar
 
Back
Top Bottom