Wanaume mnaotongoza wanawake kwa kigezo cha avatar mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani

Hatimaye cocs kafikiwa fanya ukuje uchukue sifa zako tena itakuwa fanta passion cocastic [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nna babaa tamuu wangu humuu, hizi sifa nazopewa yeye hataki kusikia anahisi namcheat. Woiiiiiih
 
Wakuu za sahizi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu mnaenda kupigwa huko na vitu vizito watu mpaka mnaotana aseee 😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Huwezi kuwa serious, kabisa, Mngeona hizo sura alafu useme urudi kwenye avatar mngekimbiana humu Personally Nimestaafu na ku abolish rasmi kuzama zama pm hovyo Sa hivi sizami, tena Ukitaka kuwa na dem humu ni bora uangalie personality na sio avatar, Narudi tena MTAENDA KUPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI Hizi avatar humu 1% or less ndo zenye uhalisia other than that hamna kazi

Mkuuu Maxence Melo nashukuru sana kwa kufanya huu mtandao kuwa huru, umenifungua macho yangu kwenye mengi sana

Till next time 😎😎😎😎😎

KAA CHONJO

Nimekaa 👉👉👉👉 na wanangu sana
View attachment 2631699
,😂😂😂
 
[emoji3][emoji3] Haiwezekani, hata mwandiko tu unaonesha wewe ni pisi afu unajaribu kutulisha matango pori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyoo hutakiii wee?? Amini kwambaaaa, uwiiiiih
 
1685091643315.png
 
Wakuu za sahizi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nipo hapa nacheka kaa fala kwa kweli. Hii ni baada ya kuona baadhi ya wanaume wanadatishwa kwa avatar za wanawake humu ndani bila kuangalia uhalisia. Asee nyie watu mnaenda kupigwa huko na vitu vizito watu mpaka mnaotana aseee 😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Huwezi kuwa serious, kabisa, Mngeona hizo sura alafu useme urudi kwenye avatar mngekimbiana humu Personally Nimestaafu na ku abolish rasmi kuzama zama pm hovyo Sa hivi sizami, tena Ukitaka kuwa na dem humu ni bora uangalie personality na sio avatar, Narudi tena MTAENDA KUPIGWA NA KITU KIZITO KICHWANI Hizi avatar humu 1% or less ndo zenye uhalisia other than that hamna kazi

Mkuuu Maxence Melo nashukuru sana kwa kufanya huu mtandao kuwa huru, umenifungua macho yangu kwenye mengi sana

Till next time 😎😎😎😎😎

KAA CHONJO

Nimekaa 👉👉👉👉 na wanangu sana
View attachment 2631699
Hahahaa kweli kabisa mkuu,nilichatt na dume moja linajiita huduma za kinini sijui..lilivyoona nalibana maswali magumu magumu ya kulilainisha likakimbia😀😀😀
 
Back
Top Bottom