Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.

Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.

Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijani🙆🙆🙆.

Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.

Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?

Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
😊😊😊😊
Wanajitunza nanini sis hahaha!

Ngoja nipitie koments nione wanavokupopoa sis

Cc Smart911
 
Unakuta dada mzuri lakini ana wigi ( ndani ya wigi Kuna twende kilioni zilizofumuka), unakuta kavaa sketi fupi halafu skintight ya ndani Tena rangi ya bluu inakaribia magoti😂😂😂😂

All in all, inafurahisha sana kuona utofauti wa watu katika jamii, ndiyo maisha yenyewe hayo.
 
Back
Top Bottom