Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.

Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.

Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijani🙆🙆🙆.

Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.

Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?

Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
😊😊😊😊
Umeolewa ?
 
Unakuta dada mzuri lakini ana wigi ( ndani ya wigi Kuna twende kilioni zilizofumuka), unakuta kavaa sketi fupi halafu skintight ya ndani Tena rangi ya bluu inakaribia magoti😂😂😂😂

All in all, inafurahisha sana kuona utofauti wa watu katika jamii, ndiyo maisha yenyewe hayo.
😂😂😂😂😂
 
Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.

Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.

Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijani🙆🙆🙆.

Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.

Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?

Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
😊😊😊😊
Au unamkuta mdada, kavaa sketi, under skirt, tight ambayo imepauka au imefubaa mpaka unashindwa kujua ilikua red, white au purple then ndani kuna chupi ya lailoni.

Ukianza mvua sasa, nguo ya kwanza okey, ya pili okey, ukifika tight unaanza sikia harufu ya kibambala, ukiikuta chupi unaakumbana na harufu ya dagaa, ukiikuta yenyewe unaweza kumbana na harufu ya panya Alie oza
 
🙌🙌🙌🙌🙌😄😄😄 inahitaji moyo maana chumba kizima ni mfyuuuuuuu....
 
Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.

Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.

Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijani🙆🙆🙆.

Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.

Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?

Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
😊😊😊😊

nafikiri wanaovaa niwale wanaonunua Suruali oversize (kubwa kiunoni) sasa ili kuifanya imtoshe au ionekane vizuri na akifunga mkanda isijikunje, ana amua kuvalia kitu kingine ndani japo mimi siwezi kwa kweli....
 
Back
Top Bottom