Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Yani vtu vya ajabu ajabu mara nyingi huwa mnaflame kwa lakeZoners, ama Mbeya ,Dodoma, Kigoma na Morogoro nayo ni lakeZone!?

Msipende kujifariji kupitia lakeZoners kubalini tu nyie ndio mambwiga wa hzo mbanga why flaming on us!? Magdaaamn
 
Haikeri wanaficha dudu zao sasa wamevaa boxer inabana wanaonekana kama hawajavaa hao ndio wanaakili ndio maana zao kubwa nene na nzuri kwa shughuli japo mie huko sikogi big ones
Screenshot_20240728-203618~2.png

Wawe wanavaa kama hizi material nzuri cotton nzuri
 
Yani vtu vya ajabu ajabu mara nyingi huwa mnaflame kwa lakeZoners, ama Mbeya ,Dodoma, Kigoma na Morogoro nayo ni lakeZone!?

Msipende kujifariji kupitia lakeZoners kubalini tu nyie ndio mambwiga wa hzo mbanga why flaming on us!? Magdaaamn
Bro mim pia ni mtu wa Lake zone nasema cz naona na nimechunguza Sana.
Huko kwingine si Sana kama huku aiseh
 
Bro mim pia ni mtu wa Lake zone nasema cz naona na nimechunguza Sana.
Huko kwingine si Sana kama huku aiseh
Haujatembea Mbeya huko mzee Mama otherwise you'll come back here to confess ,sikatai ni mazoea ya mtu but not all lakeZoners tunaweza kuvaa akna nguo wa ndani wengi.
 
Back
Top Bottom