Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Kaka zangu kujeni dada enu nawaita.

Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.

Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijani🙆🙆🙆.

Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.

Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?

Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza.
😊😊😊😊
Hahaha
 
Sio fukuto ni futuhi..............binafsi huwa najiuliza wanaficha nini?? Au yenyewe huwa inaingia mchanga??
 
Tatizo unaamini watu wote wanaishi huko dar.. binafsi navaa karibu hapa mafinga.
 
Back
Top Bottom