Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

Nilijibu yeye kadri alivyosemaaa, au ulitakaa nijibuu vipii mie??
 
Unamaanisha wanaume wala tigo za wanawake?...
Mbona wanawake wenyewe ndio wanapenda ....
Tuwakemee wanaume wala mashoga...hao wengine tuachane nao..
 
Sasa mahakama haiwezi kupokea ushahidi wa kwamba cocastic amesema alifanyiwa hivi na Juma, ushahidi wa basha mahakamani hauna mashiko hivyo hutupiliwa mbali
Sasa huyo cocastic uthibitisho kuwa Ali ingiliwa ni upi?? Ili hali hakuna aliye muingilia?? Unajua unacho kiandika lakini??
 
Sasa huyo cocastic uthibitisho kuwa Ali ingiliwa ni upi?? Ili hali hakuna aliye muingilia?? Unajua unacho kiandika lakini??
Point yangu ni kuwa mahakama haitakubali huo uthibitisho wa mdomo kwamba Juma kaniingilia, kama sio Juma ni John tutajuaje
 
Niko na mchizi wangu Demi ananifundisha mautundu πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…