Mungu mwenyewe kashindwa sembuse nyie binadamu. Haya kila la kheri siku mkifanikiwa mtujulishe. Tupo tumekaa paleeee
Kwahiyo Mungu amewapa mamlaka ya kuwateketeza?Mungu hajawahi kushindwa tusipobadilika tujiandae kupokea mapigo. Kama waliyoadhibiwa waliotutangulia
MWANZO 6:1-3
Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.
Hapo sasa[emoji23]Kwahiyo Mungu amewapa mamlaka ya kuwateketeza?
Watakusumbua sana, hawaishi wanaongezeka, kula zako tu skukuu maisha yaendelee....Vita ni vita
Watakusumbua sana, hawaishi wanaongezeka, kula zako tu skukuu maisha yaendelee....
Hawana loloteHapo sasa[emoji23]
Utakufa wewe😅😅Poapoa. Hahaha hawajambo nataka siku niwaite wote tupige bonge la gangbang
Wameacha kulea watoto wao katika njia ipasayo wanakuja kudeal na madhara yaliyokwisha fanyika.Watakusumbua sana, hawaishi wanaongezeka, kula zako tu skukuu maisha yaendelee....
hii kitu inaweza ikawa kawaida miaka 50 ijayo kama jinsi ukristo ulivoanza kwa kukataliwa miaka ya 1800s....Wameacha kulea watoto wao katika njia ipasayo wanakuja kudeal na madhara yaliyokwisha fanyika.
Na huu mtandao ulivyo na nguvu sasa, Wanashindana na wamerekani.
Vitukuu vyetu vitakuja kushuhudia miaka hiyo ya mbelehii kitu inaweza ikawa kawaida miaka 50 ijayo kama jinsi ukristo ulivoanza kwa kukataliwa miaka ya 1800s....
Ah bby usije na mentality hiyo ya kukuua...sie tunapata burudani wote watatu jamani bby wee mpitie Mzee wa kupambania ukiwa unakujaNaona mnapanga mikakati ya kuniua kabisa
Yaan mtu anashindwa kulea na kulinda watoto wake, anabaki kusakama wasio muhusu, utadhani jukumu la malezi lipo kwa wengine, kumbe ni lake mwenyeweeWameacha kulea watoto wao katika njia ipasayo wanakuja kudeal na madhara yaliyokwisha fanyika.
Na huu mtandao ulivyo na nguvu sasa, Wanashindana na wamerekani.
Boraa wee usemeee hapo sasa.
Jinga wewe, unafananisha vipi Ukristo na ushoga? una akili kichwani kweli?hii kitu inaweza ikawa kawaida miaka 50 ijayo kama jinsi ukristo ulivoanza kwa kukataliwa miaka ya 1800s....
ukristo ulivokuja, si ulikataliwa?? haikuwa tamaduni yetu, lakini mzungu akalazimisha mpaka ikaonekana kawaida, tamaduni zinabadilika kwa kupitia influence ya tamaduni zingine. Huu ndo ukweli....Jinga wewe, unafananisha vipi Ukristo na ushoga? una akili kichwani kweli?
Ulikataliwa na nani?ukristo ulivokuja, si ulikataliwa?? haikuwa tamaduni yetu, lakini mzungu akalazimisha mpaka ikaonekana kawaida, tamaduni zinabadilika kwa kupitia influence ya tamaduni zingine. Huu ndo ukweli....