mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
- Thread starter
- #441
Mungu mwenyewe kashindwa sembuse nyie binadamu. Haya kila la kheri siku mkifanikiwa mtujulishe. Tupo tumekaa paleeee
Mungu hajawahi kushindwa tusipobadilika tujiandae kupokea mapigo. Kama waliyoadhibiwa waliotutangulia
MWANZO 6:1-3
Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,
wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.