Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

Hongera sana Mama D

Leo nilitaka kuongelea hili suala, nashukuru wee umelileta hapa watu tujadili.

Kuhusu suala la kupinga na kuzuia ushoga, kuwa ni kinyume na maadili kwa jamii, ni sawa kwa mtazamo na fikra za watu. Na hakuna anayekataa hilo, na utovu wa maadili uko kwa mambo mengi sio ushoga tyuuh, ila njia inayotumiwa ktk kutekeleza hilo sio sahihi kabisaa kwani inamdhalilisha na kumtweza mtu husika, pia ktk kutekeleza hilo kuna ubaguzi na uonevu au upindishwaji wa sheria juu ya hilo jambo km vifungu vinavyo sema.

Ktk vifungu vya sheria vimeanisha kuwa kuingilia na kuingiliwa kinyume na maumbile ni kosa la jinai, na ni kwa jinsia zote yaan mwanaume na mwanamke pia, maana ya kwamba wote walio shiriki tendo la kinyume na maumbile wametenda kosa, na hukumu yao ni moja. Ila sasa ktk hili sakata linalo endelea kuna mapungufu mengi na ya wazi, ambayo yanapaswa kukemewa kweupee kabisa.

Tumeona case km 3 za wahanga wa hili sakata la ushoga ambao wamefungwa 30yrs jela ambao wote ni waingiliwa, kwa kuanzia ukamatwaji wake, hadi kukiri na hukumu kutolewa ni utata mtupuu, nasisitiza tena ni utata mtupuu, haiwezekani mtu akamatwe usiku afu asubuhi anahukumiwa eti kisa ali kiri, ali kiri kwa namna gani? Na uthibitisho wa kukiri kwake ukoje? Na km ali kiri kufanyiwa hivyo hao watu aliofanya nao hicho kitendo wako wapiii?? Sababu nao ni sehemu ya watuhumiwa. Tukihoji kuna watu wanakuja etii ooh hakuna ushahidi wa muingiliaji, sasa km hakuna huo ushahidi vipi muingiliwaji uwepo? Tukizidi kuhoji watu wanaishia kutoa hoja za kejeli na matusi, hiyo yote kukosa maarifa au kuna jambo linafichwaa.

Hakuna muingiliwa bila muingilia hilo linafahamika na liko waziii, naomba nitoe rai kwa mamlaka husika, km kweli wanataka kutatua hili tatizo na wako serious, bas waanze ku deal na wangiliaji, hawa ndio tatizo lenyewee, hata hawa waingiliwa wakifungwa jela wote, hawa waingiliaji wata waanzisha wengine wapyaaa, sasa sidhani km hilo ni suluhisho au ndio kuongeza tatizo.

Hawa waingiliaji ndio wanao waharibu watoto wakiwa hawajitambui na hawajiwezi, hadi wanafikia ukubwa na kuamua kuendelea kuishi hivyo wanaishia kuhukumiwa wao, huku waharibifu wakibaki huru kutamba na kuendelea kuwaharibu wengine. Hii iko sawa????

Mamlaka husikaa anzeni na hawa waingiliaji, kila muingiliwa akikamatwaa na kuthibitika, ataje wote walio muingilia na wakamatwe wahukumiwe km sheria inavyo semaaa hili janga litapungua km sio kuisha. Huku kuwaacha wawe huru uraiani ni sawa na kuendelea kukuza au kuongeza wingi wa watu hao.

Ukweli usemweee waingiliaji ndio wanatakiwa kukamatwa na kuhukumiwa, watapatikanaa kwa kutajwaa na walio waingiliaaa..
Hii comment yako nimeisubiri kwa muda mrefu hatimae leo nimeipata ubarikiwe mkuu.
 
Sidhani kama ni kweli, ila navyojua ku sex kuna vichocheo vya kuleta mihemko kutoka kwa Ke to Me.

Sasa tako la gay linavutia nini?Tunachojua mnyumbuliko wa mwanamke , maumbile ya mwanamke, mfano maumbo yao ya kisasa ambayo huwezi kuta kwa gay.

Bila ya distortion ya akili sidhani kama kuna mwanaume anaweza kuamua kwenda kumkandamiza mwanaume mwenzake kwa ukuni.
Tako la gay ushaliona tyrone ? na guy anaeweza pitisha Di**k topeni anakosaje ujasiri wa kutamani taste ya tako la gay softie kama delicious. Tyrone you are not a kid na unajua sex ni uchafu ambao kila mtu ana limits zake so kama huwezi wapo wengi wanaoweza dear
 
mama D mpaka Sasa waliofungwa ni mapunga tu. Mmoja kule Mbeya na mwingine Kilwa, wote miaka 30.
Katika Hawa hakuna aliyemtaja mwamba aliyemilimba.
Kuna yule polisi aliyeingiliwa kesi iko mahakamani, Wana deal na yeye tu, mwamba au miamba iliyomuingikia hajaonekana mahakamani.
Tanzania tuna deal na mashoga tu, wasagaji, changudoa na mabasha hawatajwi japo twajua hatuwezi kua na mashoga bila kua na mabasha.
 
What I know lazma nawe ni mshiriki mwenzetu my dear kwa sababu straight person ni ngumu kujua aina za gays
Ona choko lingnine hili,sasa nyie c ndo huwa mnaitana top na bottom na huyo choko mwenzio kajiita top B inamaana anawafilimba nyie mabottom...
Sasa serikali ya mama imeamua kudili na nyie kimya kimya yaan door to door mpaka tuhakikishe wote mmeacha huo upuuzi wenu...
Warembo wapo kibao kazi kubutuana maspika tu SHWAIN!!
 
Back
Top Bottom