Wanaume mnataka nini hasa kwenye mahusiano?


Mimi ni mambo mawili tu yamenikaba!

1. Imani yangu kidini.

2. Hali yangu kiuchumi.

Mleta mada ni mambo ya dunia ya leo
Ila naamini babu zetu walifaidi sana enzi hizo.
Mke 1 sio tu hatoshi bali hafai kabisa, ilitakiwa tuwe nao wengi tu, rejea ule msemo mke 1 hulemaza akili.

Jambo jingine ambalo huwa silielewi ni kuhusu hawa ambao ni baba zetu wa imani (Ibrahim, Yakobo, Daud, Suleman na wengineo wakati wao hawakuwa na mke 1 lakini ndio mifano yetu tufundishiwayo kwenye madhebu yetu!

Cha ajabu imefika kipindi chetu na (agano jipya), hapo sasa ndo Yesu kapigilia msumari kabisa ule wa nchi sijui ngapi, eti HATA KUMWANGALIA TU KWA KUMTAMANI TAYARI MOYONI UMEKWISHA KUZI…

Hilo fungu huwa linanimaliza nguvu!

Yote kwa yote mleta mada hata ww naamini kabisa 1 tu hadi kifo inachosha na kukifu, kama kila kitu kikibaki vile vile bila kuki-update au kikifanyia marekebisho au maboresho hakina maana tena!

Hata wewe iko siku tu utajuta
 
Umezaa naye hivyo mtoto wenu anawaunganisha
 
Acha tamaa shwain... unajua mtu ni mume wa mtu na ametoka kuoa recent ushammanulia mwandu... itachukua muda kutoka kwenye fikra zako na usipokua makini ndio lifestyle yako itakua hio kwa wanaume za watu tu.
Muombe mungu na tubu kwa dhambi hio utakua sawa na hauto sumbuliwa tena ila unaonekana rahisi sana.
 
Wewe ndio hujatulia si mwanaume
 
Duh umeshatembea nae umemchoka sa hv unajiuliza wa nini😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…