ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,030
Wanaume tulieni na ndoa zenu!!!! Utakuta mtu na Pete yake kidoleni amekung'aninia mtoto wa watu muda wote anataka mapenzi, najiuliza ni kwamba hamridhishwi na wake zenu?
Mnakosa furaha au mapenzi ya kweli uko mliko? Tamaa? au ulioa ili upate heshima tu lakini mwanamke uliye nae sio sahihi au ni nini? Nilipokuwa chuo nili date na mwalimu ambaye alikuwa anatufundisha lakini niliogopa sap, kingine mwl mwenyewe tu alinivutia,lakini alikuwa ni mume wa mtu ametoka kufunga ndoa wiki ilo ilo akakutana na Mimi kwenye sita kwa sita mke wake alisafiri kidogo,lakini hata aliporudi ikawa ivyo ivyo tunakulana tu as if hana mke!
Na simu hazikatiki hadi leo huyu teacher akisikia tu nipo mkoa huo atanisumbua labda niende kimya kimya asijue, Sasa Mimi nimechoka. Nipo mkoa flani nakutana tena na Yale Yale mtu na Pete yake mkononi nakupenda!! Nakupenda! Nipe Nipe! Jamani! huu mwezi wa nne namkatalia bado anakomaa tu na Mimi,saizi mimi nipo kwenye mahusiano serious,vipi mwanaume wangu akikuta chati?
Yaani tunaharibiana nyie wanaume. mnataka chapati! Au mnataka nini?
Mimi ni mambo mawili tu yamenikaba!
1. Imani yangu kidini.
2. Hali yangu kiuchumi.
Mleta mada ni mambo ya dunia ya leo
Ila naamini babu zetu walifaidi sana enzi hizo.
Mke 1 sio tu hatoshi bali hafai kabisa, ilitakiwa tuwe nao wengi tu, rejea ule msemo mke 1 hulemaza akili.
Jambo jingine ambalo huwa silielewi ni kuhusu hawa ambao ni baba zetu wa imani (Ibrahim, Yakobo, Daud, Suleman na wengineo wakati wao hawakuwa na mke 1 lakini ndio mifano yetu tufundishiwayo kwenye madhebu yetu!
Cha ajabu imefika kipindi chetu na (agano jipya), hapo sasa ndo Yesu kapigilia msumari kabisa ule wa nchi sijui ngapi, eti HATA KUMWANGALIA TU KWA KUMTAMANI TAYARI MOYONI UMEKWISHA KUZI…
Hilo fungu huwa linanimaliza nguvu!
Yote kwa yote mleta mada hata ww naamini kabisa 1 tu hadi kifo inachosha na kukifu, kama kila kitu kikibaki vile vile bila kuki-update au kikifanyia marekebisho au maboresho hakina maana tena!
Hata wewe iko siku tu utajuta