Wanaume mnatoa wapi ujasiri wa kushare Mwanamke?

Kama hutaki kinyaa tafuta bikra utoboe mwenyewe ubaki naye vinginevyo wote tunakulaga leftovers tu za mabaharia...
 
Hiki kitu nataka niwaulize wanaume wenzangu, inakaaje unafahamu mwanamke flani anatoka na flani na wewe anampangia foleni unapiga hivi huwa hamna kinyaa
Mbona tukienda hotelini tunatumia vijiko, vikombe, sahani wote wala haviwekwi leble kuwa hiki cha Masanja na kile cha Kalumanzila?

Anyway kwa ufupi ni kwamba kuna vionjo huwa kama wale chura wa Kihansi, havipatikani popote duniani
 
Vipi wale wa kwenda Sinza, Sudan, Tandika na Uwanja wa Fisi pia hao unawaonaje?
 
Af niuwaki bola ufe kuliko kushare
 
Tunapanga foleni kwa wale wa kagera itakuwa wa mtaani nikisikia wana wamepewa na mm naenda nikapewe ukiona kinya kula mbunye una matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…