Wanaume mnatoa wapi ujasiri wa kushare Mwanamke?

Wanaume mnatoa wapi ujasiri wa kushare Mwanamke?

Unashangaa watu tunakula mpaka WAJANE na tuko sawa Tu

Kwani Wajane wako na nini ?

Nao ni wakawaida tu.

Tena wengine wala hawajatumika sana , unakuta Mwanaume wa kwanza ni huyo alokuwa mume wake,

Hata watakaka wengine hawajatumika sana , unakuta Mwanaume wake wa kwanza ni huyo walotendana wakaachana.

Yaani hakunaga formula ya aina moja.

Isipokuwa ambao wako over used wapo wengi tu pia ni wewe tu kujitambua, kuwatambua unaofanana nao kitabia.
 
Hiki kitu nataka niwaulize wanaume wenzangu, inakaaje unafahamu mwanamke flani anatoka na flani na wewe anampangia foleni unapiga hivi huwa hamna kinyaa? hivi hamkumbuki stori za ngoma, mwanao anapiga kesho umekaa naye sehemu moja mara unamuona ana punye, au anakohoa haikuletei mshituko na hofu?

Binafsi sipigi mwanamke wa mtaa mmoja, au ninayefahamu skendo zake mwanamke ninayemfahamu huwa simpendi kabisa, unanza kuwa subject na stori zake, mambo yake yanakufika kiufupi hilo sawa na demu wa ofisini, yaani tuwe ofisi moja halafu nimchakate.
Cha ajabu hapo ni kipi sasa ,wakati mm niliwahi kuwa na mshikaji wangu D nilienda kumtembelea likizo akampanga demu wake ,Nikamla sana siku hiyo ,na jamaa maybe akaja akamla na sasa wameona wanaishi pamoja na tunaheshimiana n maisha yanaenda na jamaa Bado ni rafiki yangu wa damu sana alinionyesha kitu ch tofauti sana mpk Leo najiuliza sipati majibu...
 
Bado unaendelea kumla siku moja moja?
 
hata wako inawezekana kuna watu wanapiga ila wewe ndio hujui
 
Kuna jamaa Tena Ni member humu ndani yeye anashare na kak ake mademu Tena mtungo

Nimemtema raismi Kam mshikaji wangu never on the earth alitaka tushare mwanamke aliye Kuja geto
 
Hapana mkuu ,nilimla Kam mara mbili tu ,nikasitisha zoezi nikabaki km rafiki wa familia kushauriana mambo mbalimbali
Ulimla baada ya ndoa? Rafiki yako alijua? Kama alijua je alichukuliaje?
 
demu au ex wa mwana ndio haliwi, ila wengine ni halali kabisa!
 
Nilikuwa na kinyaa kama wewe hadi siku waliponitafunia wangu ikawa mwisho wa kinyaa.... ila kwa sasa nadhani kinyaa ni bora zaidi maana yule ndo mimi sasa.
 
Back
Top Bottom